pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
- Thread starter
- #61
Sasa kumbe kuna mwanaume aliyekuzidi hela? Huyo ndo anamnawirisha, na kama sio yeye basi kuna mwingine.
Pole kwa maswahibu lakini, inaonekana ulilazimisha sana kuwa nae tangu mwanzo. Kama baadhi ya hayo yanayokuchukiza yalitokea kabla hujazaa nae basi ulifanya makosa kuzaa nae. We kama unampenda mtoto jitahidi kumjali bila kumuwaza mama yake, thamani yako haitoacha kuonekana kwa mtoto huko mbeleni.
nilimpenda sana ndo maana nilimvumilia nikajua akizaa atabadilika nikamshawishi adi akakubali kunzalia baada ya kuzaa mtoto akiwa na miaka miwili ndo kama akanambia moyo wake haunipendi basi nilichofanya nikamtishia kumuaribia kazi akanambia kama ni kazi haina tabu kesho yake akaandika barua ya kuacha kazi.
kibaya zaidi akahama na kwao na mtoto akaniandikia sms kwamba nisimtafute na mtoto atamlea mwenyewe. sijui huko yaliyompata nikashtuka ananishinikiza matunzo ya mtoto nikamwambia amlete nikae nae akapeleka shitaka ustawi wa jamii nikawasihi wanipe mtoto akagoma kwamba bado mdogo nikapewa bili ya matunzo nikaambiwa nitoe 500 kila mwezi natoa lakini nikikumbuka nahisi namfaidisha kwa maana jamaa nasikia amemtosa na kazi hana. kwa kweli kwa moyo mweupe namuombea shida zooooooote zimpate.