Nataka kumuhudumia mtoto peke yake

Nataka kumuhudumia mtoto peke yake

sio wabahili ukweli mnazingua sana tena namashaka na wewe isiwe kidongo kinakuhusu pole
 
sio wabahili ukweli mnazingua sana tena namashaka na wewe isiwe kidongo kinakuhusu pole
 
Pole sana kwa yaliyokukuta ndugu yangu.
Kilichobaki hapo ni kufanya juu chini kumchukua mtoto tu, lakini hilo swala la mama asile pesa yako haliwezekani ndugu yangu.
 
Haaa haaa haaaa mkuu umenifanya nicheke ila kwamba nakucheka mkuu unaonekana unahasra umeandika kwa hisia knyama dhaaaaa!!! Huyo mwanamke alikufanyaje mkuu


Ukitaka umhudumie mwanao pekee itakubd umchukue ukae nae maana km atakua huko kwa mwanamke lazma matumiz upeleke mkuu tena co kdogo
 
Aha ha ha nimecheka.sana mkuu mambo mengine ni madogo sana .watu wanatunza wanawake hata hawajazaa nao sembuse huyu ana mwanao? Mkuu wewe nawasiwasi hata kama unahonga kweli.vumilia mtoto akuwe umchukuwe.
 
Nipeni ushauri jinsi ya kumuhudumia mtoto bila mama yake kunufaika manayake sitaki huyu mwanamke aonje pesa zangu ninazotoa kwa ajili huyo mtoto, tangu nianze kutoa gharama za matunzo huyu mwanamke anazidi tu kunawiri inaniuma sana.
Mwache tu anawiri si mama wa mtoto wako aiseeeh!
Anapokuwa na afya njema na mtoto naye afya yake inaimarika labda asiwe anamuhudumia mwanao ipasavyo.
Halafu mapenzi hayana fomula, leo hii unaweza kumchukia kwasababu ya uliyenaye halafu kesho ukagundua bora ya yeye mkarudiana. ( Kama huoni noma kurudia matapishi yako)
 
Back
Top Bottom