Nataka kumuhudumia mtoto peke yake

Nataka kumuhudumia mtoto peke yake

Nisingezungumza haya kama sina ushahidi wewe ndo naona unasema tu as if ulikuwepo au unamjua. Hapa kila mtu anaeleza experience yake na namna anavyoliona jambo. Anyway sishangai mana inaonyesha ndio nyie wote. Hivi kwanza unafahamu mtoto akiwa na umri fulani pia anatakia kufikia kilo fulani? Haya ninayo yazungumza nayafahamu ndio maana nikatoa ushuhuda wangu.

Usipanick bana. Mimi bado sijawa convinced kwamba eti mama anakula anamnyima mwanae, uzoefu wangu ni kwamba mama anajinyima anampa mwanae.
 
mwanaume kua na hulka za kichoyo n dall mbaya saaaana!!! roho hyo ya ajab sn..ulv kua ukmgegeda mamaake je??? angeitoa hyo mimba je?? uchungu aloupata unaweza kuulpia ??? asnge push vzr mtt afe je??? umeniudh..... pambafu
 
pakaywatek;

Khaa!! Pole kiongozi hiyo ni changamoto kubwa sana na umekamatika kweli. Cha msingi vumilia tu ni kitu cha muda mfupi. Wengi watakushangaa humu kwa sababu hawajui wanawake 😛opcorn:
 
Last edited by a moderator:
Acha roho mbaya wewe eti mwanamke ananawiri ulitaka akonde ndo ufurahi ulivokua unamkojolea hukujua hayo? Roho ya kwanini imekujaa hata aibu huoni .
 
Naona unammezea mate mzazi mwenzio kwa kuwa ananawiri, kama inawezekana mrudie na kama la haiwezekani kuna ubaya gani mama wa mwanao akinawiri? Au unataka adhoofu akose hata nguvu ya kumlea mwanao ndiyo utakuwa na furaha!? Achana na mawazo potofu kuhusu kunawiri kwa mzazi mwenzio.
 
unakuta mwanamke anakuomba hela ya shule ya mtoto na mambo mengine kumbe hela anazifanyia mambo yake na mtoto hasomi hapo unafikiri itakuwaje?,hvyo tusimlaumu mtoa mada huenda huyo mwanamke wake ni mshenzi
 
Haahahaaaaaaaa! Wanaume kwa roho za mchongoma siwawezi. Basi kuwa hutoi cash, kama lukuunapeleka luku, maziwa unanunua kabisa, nepi, pampers, unga, mafuta, kila kitu, nguo, sabuni, maji yaani hadi chumvi na sukari. kAMA ADA UNALIPA KABISAA. Unahakikisha hali senti tano yako.

nitajaribu ushauri wako
 
MKUU umejuaje kwamba ananawili kupitia pesa zako wenda amempata mtunzaji zaid yako?
 
Ushauri wa @ lara 1 ni mzuri ufanyie kazi halafu pia anaweza akawa amenawiri kwa kuwa kampata mwingine anayempenda jaribu kuchunguza hilo pia
 
Mwana mkazie huyo,wanawake wengine hawastahili kupewa hata senti moja kwa mambo wanayofanya,kama vipi anza kupeleka vitu badala ya hela,mfano anza kupeleka uji,chakula cha viazi kilichopondwa,maziwa yaliyochemshwa na n.k....komaa kaka...
 
ushauri wa @ lara 1 ni mzuri ufanyie kazi halafu pia anaweza akawa amenawiri kwa kuwa kampata mwingine anayempenda jaribu kuchunguza hilo pia

wenda nae anajua hilooo
 
mwana mkazie huyo,wanawake wengine hawastahili kupewa hata senti moja kwa mambo wanayofanya,kama vipi anza kupeleka vitu badala ya hela,mfano anza kupeleka uji,chakula cha viazi kilichopondwa,maziwa yaliyochemshwa na n.k....komaa kaka...

asisahau na mpishi na mlinzi mwangaliz afya yake
 
watu mnashambulia tuuuuu!!! hivi siku aliponisaliti mlikuwepo? siku nalipomsamehe mlikuwepo? siku alipobitumia sms kwamba anipendi mlikuwepo? siku nilipomsaidia kupata kazi mlikuepo? siku aliponionyesha limwanaume lililonizidi pesa adi nikataka kuua mlikuepo? yaani vituko vyake nilivumilia adi
 
Sasa kumbe kuna mwanaume aliyekuzidi hela? Huyo ndo anamnawirisha, na kama sio yeye basi kuna mwingine.

Pole kwa maswahibu lakini, inaonekana ulilazimisha sana kuwa nae tangu mwanzo. Kama baadhi ya hayo yanayokuchukiza yalitokea kabla hujazaa nae basi ulifanya makosa kuzaa nae. We kama unampenda mtoto jitahidi kumjali bila kumuwaza mama yake, thamani yako haitoacha kuonekana kwa mtoto huko mbeleni.
 
Wacha roho ya korosho mkuu,
Wewe uliona raha kujikunja na kumkojolea Dada wa watu sasa hivi amekuzalia mtoto unaona ngumu kuwatunza wote....
Tunza wote wacha roho mbaya..

Na Kama kuna mchepuko una honga hela afu mama mtoto unambania...hiyoo ni LAANA tupu..
Hapa kinachoumaga ni unamnawirisha alafu njemba nyingine inakula mzigo na unaijua kabisa, simuungi mkono ila nimemuelewa!
 
watu mnashambulia tuuuuu!!! hivi siku aliponisaliti mlikuwepo? siku nalipomsamehe mlikuwepo? siku alipobitumia sms kwamba anipendi mlikuwepo? siku nilipomsaidia kupata kazi mlikuepo? siku aliponionyesha limwanaume lililonizidi pesa adi nikataka kuua mlikuepo? yaani vituko vyake nilivumilia adi

Sasa walalamika nini??? kama meanaume wake wa sasa ana mihela basi ndo anayemnawirisha, wee mpe tu pesa ya mtoto, timiza wajibu wako!
 
watu mnashambulia tuuuuu!!! hivi siku aliponisaliti mlikuwepo? siku nalipomsamehe mlikuwepo? siku alipobitumia sms kwamba anipendi mlikuwepo? siku nilipomsaidia kupata kazi mlikuepo? siku aliponionyesha limwanaume lililonizidi pesa adi nikataka kuua mlikuepo? yaani vituko vyake nilivumilia adi

Pole sana baadhi wanawake ni manyang'au, peleka vitu kama ushauri wa lara 1, japo ni ngumu pia kumzuia asitumie, ingekuwa ni mm ningemchukua mtoto, nikae nae au akakae na bibi yake(kama upo mwenyewe),
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom