Nataka kumuacha mke wangu


Kimsingi ndivyo nilivyokua nafahamu mm lkn cha ajabu wazazi wake wakaniambia mila zao haziruhusu
 

Asante.
Hapa sababu sio ndugu bali ni nidham mbovu ya mwanamke
 
Naomba umwache kabisa na usimkumbuke kamwe. Umsahau na usimtafute yeye na mtoto wake kabisa.

Atakachotaka kama sharti la kumwacha mpe asilimia 100.

Utakayemuoa jitahidi kutomweka karibu na mama yako, maana uliyeoa ni wewe, na akijifungua majukumu ni yako wewe, usimpelekee mama yako. Ukishindwa hapo basi usioe hujui majukumu ya ndoa.

Tatizo ni wewe na sio mkeo. Sisi wanaume tunajua kuwa una matatizo, lakini ukizingatia ushauri huu


Utafanikiwa katika ndoa yako

Jiulize, utaoa wangapi?

Next time ujue wake zetu na mama zetu mara nyingi hawapatani kwa sababu za kisaikolojia maana mama anajua kabisa mke kabeba upendo wote uliokuwa unampa.
 
Nimetamani nikupe likes 10 hivi. Umesema vzr sana

Asante mkuu,kwa likes zako,nimeyasema haya sababu nina uzoefu na nimeyaishi kwa muda mrefu hvo nina uzoefu na migogoro hii kiasi kikubwa na nikisema niweke stor ya maisha ya ndoa yng hapa ni darasa tosha,tuwe makini sana linapofika suala la kuachana hata km umekosewa,pima madhara ya kosa na madhara ya kuacha,mara nyingi madhara ya kuacha huwa makubwa,
 
umekaa nae kwa muda gani sasa, Je umefunga nae ndo ipi? ya Bomani/, Kanisani, Ya kimila au Msikitini?
 
umekaa nae kwa muda gani sasa, Je umefunga nae ndo ipi? ya Bomani/, Kanisani, Ya kimila au Msikitini?

Nimekaa nae mwaka na nusu, hatujafunga ndoa yoyote zaidi ya kumtolea mahali tu.
 

Hapana! Jiangalie wewe, usisikilize maneno ya ndugu, ndugu wana maneno sana! chukulia hiyo ndiyo weekness yake, halafu angalia Tabia ya kabila ulilo oa na jinsi gani alikuzwa huyo wifey.
 
Huyu mtu hajaja kutaka ushauri bali kaja kutujuza kuwa anataka kumwacha mkewe kisheria kwa hiyo mpeni anachostahili tu maana inaonesha maamuzi keshafanya na hataka suluhu.
 
Bora umuache akateseke kwa kipindi kifupi sababu pasipo shaka wala mawaa wewe ni mwanaume gubu
 

Zamiluni ungekua karibu sijui ningekupa nini.
 
Huyu mtu hajaja kutaka ushauri bali kaja kutujuza kuwa anataka kumwacha mkewe kisheria kwa hiyo mpeni anachostahili tu maana inaonesha maamuzi keshafanya na hataka suluhu.

Kimsingi wewe ni mtu wa kwanza kuelewa ninacho kitaka, kweli humu ndani watu wengi hawasomi nyuzi kwa makini, wanakurupuka tu na kujifanya ma-counceller.
 
kama hivo ndo utakavokua kwenye ndoa utaoa ukiacha mpk dunia itaisha.kila.mtu ana mapungufu yake mkamilifu mungu pekeake.ongea nae na mtishie kumuacha kama anakupenda atajirekebisha.
 
Nimekaa nae mwaka na nusu, hatujafunga ndoa yoyote zaidi ya kumtolea mahali tu.

Khaaaaa kumbe hujamuoa mtt wa watu then waja kumsimanga..ushamfuuujaaaa ndo wataka kumuacha..simple muache mahari yako km unadhiki kaidai..ila km huna sepa...atapata mume mwingine wa kumuoa atayemjali na kumpenda
We ushapata demu mwingine huna lolote
Km ni kuoa ungeshaoa
Tumeshakuona we kumbe si muoaji
Walipa mahali then wamfuja mwaka na nusu.??
You were never a husband material
 

Ok. Nashukuru kwa mchango wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…