Acha my ndugu, tusikariri kua mama mkwe ni mwiba.acha upimbi wewe .. mama yako hawezi kumtreat in good way hata siku moja sisi ndiyo wanawake bwana unafki mbele.. trust me mama yako ndiyo mwenye shida ndiyo maana now days tukijifungua bora kukaa na wazazi wetu kuliko mama mkwe ... KOMA HUNA HAYA WEWE MAMA YAKO NI MALAIKA MKEO KUKAA KIMYA UNADHANI NI MPUUZI AU ANAVUMILIA TU..
Kua muwazi hilo sio kosa la kumuwacha mkeo, tena umezaa nae na huyo mtoto umemfikiria?
Acha my ndugu, tusikariri kua mama mkwe ni mwiba.
Juzi tu tumetoka kumweka kitako mdogo wangu kwa ku mtreat vibaya mama mkwe wake. Yule mama ni.mstaarabu mno na tukamuambia dogo umuombe msamaha huyu mama maana hajakukosea lolote na umemnyanyasa sana. Na huwezi amini, yule mama hakumwambia mwanae vituko vya vya mkewe.
Kila mtu anaweza kukosea.
pole tatizo hukuweka mambo bayana hapo juu mwanzoni.... kama mimi nimeanza kukupa maneno makali loh nisamehe mkuu.. muache kuoa mwonekano mwanamke tabia .. mnabisha ona sasa aibu hii unaishia kunyanyasa mtoto kutokana na uchaguzi wako mbayaMtoto ndo nilieanza kumfikiria, kimsingi ukisoma vizuri huu uzi unaweza pata kitu cha ziada, domo chafu na udhalilishaji ameuanza kitambo kidogo hata mm mwenyewe alishanifanyia na sasa amefanya kwa mama, kumtusi mtu ( mkwe)/familia ni kosa dogo? Halistahili kukemewa? Kwanini yeye hamuonei huruma huyo mtoto? Au anajua huyo mtoto sio wa familia yangu? Anyway nimfanye nini sasa maana nimekwisha mkanya bila mafanikio
Kulingana na eneo nnalo ishi, kituo kinachotoa huduma za afya hakihudumii akina mama wanao jifungua mtoto wa kwanza na watano na kuendelea, hivyo ikalazimu kupelekwa sehemu nyingine ambako mm nilipendekeza kwao kwa mama yake ambako ni mkoani, kuna hospitali kubwa....wazazi wake walikataa kwa hoja ya mila haziruhusu, ndipo nili poamua kumpeleka nyumbani kwetu ambako pia ni mkoani.
Acha my ndugu, tusikariri kua mama mkwe ni mwiba.
Juzi tu tumetoka kumweka kitako mdogo wangu kwa ku mtreat vibaya mama mkwe wake. Yule mama ni.mstaarabu mno na tukamuambia dogo umuombe msamaha huyu mama maana hajakukosea lolote na umemnyanyasa sana. Na huwezi amini, yule mama hakumwambia mwanae vituko vya vya mkewe.
Kila mtu anaweza kukosea.
jamani ila kunw wanawake hawana adabu na wakwe zao
yaani ana mdomo mchafu usiombe ikukute hii kitu utagombana na kila mtu
Fedora i know difficulties it is kua na mke km huyo
hao wanaokuona bogas hao hawajui tu
na hyo ndoa hapo ht raha na amani hamna
Wanajamvi, ni kama wiki tatu hivi tumebahatika kupata mtoto wa kwanza lkn kabla wife hajifungua nilimpeleka kwa mama yangu kwaajili ya huduma baada ya kujifungua, ndo ilikua mara yake ya kwanza kwenda kuishi na mama mkwe, cha ajabu kwa kipindi chote alichokaa nae ameonesha utovu wa nidhamu mkubwa.
Hivyo nimedhamilia kuachananae muda tu atakapo pata nguvu. Hivyo wanaojua sheria za ndoa na jamii naomba mnijuze ni sheria gani inaweza kunibana ktk hayo maamuzi yangu.
Asante nawasilisha tafadhali.
pole tatizo hukuweka mambo bayana hapo juu mwanzoni.... kama mimi nimeanza kukupa maneno makali loh nisamehe mkuu.. muache kuoa mwonekano mwanamke tabia .. mnabisha ona sasa aibu hii unaishia kunyanyasa mtoto kutokana na uchaguzi wako mbaya
Hili nalo neno!!
Kama mlifunga ndoa au hamjafunga ukikaa naye kwa miezi 6 mfululizo sheria inakubana, hivyo ili uwe na nuhakika nakushauri uende katika ofisi za serikali kuonana na OFISA USTAWI WA JAMII kama sikosei akushauri
Huwa najiuliza...kwa hiyo siku zote mtu anakuwa ametulia zinaibuka baada ya ndoa? Kama ndivyo, basi itakuwa ngumu kuwalaumu kwa uchaguzi mbaya manake tabia hizi zimeshindikana kuonekana kabla. Ingawa mimi binafsi huwa naona kama tabia zinaonekana tu, huwa hazijifichi. Kosa letu huwa tunaamini kuwa...aaah..hilo tu mbona linarekebishika? Thubutuuu...