hamna shida, we ukishamuacha turushie namba yake ya simu hapa ili wenzio tunaowajua wanawake tukutombee. wewe endelea kuwa na mazaako.Asante kwa ushauri wako
Hapa inaonekana ww ni mtu wa kukurupuka tu kama zuzu, Ulicho kipost ni out of point tena hata hujui wapi Pa kujenga hoja. Ukipata muda soma post chache za nyuma utapata picha nzuri nakujua nn cha kusema. Open your mind before opening your mouth.
Asante sana kwa huu ufafanuzi mzuri japo hayo yote nimekwisha yaelezea vizuri acha nirudie tena kwa kuheshimu jitihada zako na kwa faida ya wengine.
1. Natambua kua mke hupelekwa kwao kwa huduma baada ya kujifungua, lkn kwao walikataa kwa hoja ya mila zao haziruhusu.
2. Hakupaswa kufanya shughuli yoyote ambayo mjamzito hapaswi kufanya au hata kama hajisikii, nilimuongezea muhudumu mwingine wa kumsaidia mbali na mama
3. Mpaka leo wazazi wangu hawajasema kama anatabia mbaya ila nimejionea mwenyewe hata kabla ya ujauzito na wakati wa ujauzito, maana nilikuwepo wiki 1 kabla hajajifungua na kuendelea kuwepo kwa wiki nyingine 2 baada ya kujifungua
4. Nimekua nikimuelekeza na kumuongoza juu ya hiyo tabia yake mbaya kwa muda mrefu bila mafanikio, tukio hili la sasa ni kama climax ya mfululizo wa uozo mwingi alioanza kuufanya muda mrefu.
sawa mkuu ila sina tabia ya kusoma comment zote za juu ndio maana sikuyaona hayo maelezo. inaonesha mila zenu wewe na mkeo ni tofauti. kaeni muyamaliza kwani kumuacha mke ni kumtesa, sijui ana uwezo gani wa kujikimu kimaisha ila pia vile vile kuna mtoto ndio tayari mmeshapata. tumia ujasiri wako kuendelea na maisha ya ndoa
Eeh pole baba, ulishawahi kujihoji ktk maisha yako NI kwa kiwango gani wenu ni mkamilifu?hicho Ni kisingizio'hutopata malaika ktk yako!!
Kweli unampenda huyo mke na unamfikiria huyo mtoto malezi atayopata ya malezi ya mama pekee?hivi mnaoa kwa ajili ya nn wakati bado mnapenda kuwaendekeza mama zetu
Kweli unampenda huyo mke na unamfikiria huyo mtoto malezi atayopata ya malezi ya mama pekee?hivi mnaoa kwa ajili ya nn wakati bado mnapenda kuwaendekeza mama zetu
Nikweli nimesha jiuliza hilo swali, na kimsingi kukosea sio mbaya kila mtu anakosea, na mtu mwenye akili timamu hukubali makosa na kujifunza. Tabu ni pale mkosji anaposhindwa kujifahamu na kuleta kiburi akielekezwa alipokosea.
Mkuu hivi unajua hali za kinamama wanapokuwa wajawazito?? ni stress kwa kwenda mbele, wakati mwingine unaweza ukamshangaa sana kama kweli ni yeye?? Akishajifungua anabadilika, Hakuna wakati mgumu kwa mwanamke kama kipindi cha ujauzito.Asante kwa ushauri wako
Hapa inaonekana ww ni mtu wa kukurupuka tu kama zuzu, Ulicho kipost ni out of point tena hata hujui wapi Pa kujenga hoja. Ukipata muda soma post chache za nyuma utapata picha nzuri nakujua nn cha kusema. Open your mind before opening your mouth.
Nami alipoanza tabia ya domo chafu niliamini ipo siku atabadilika.....nikajaribu kuongea nae polepole na kumrekebisha bila mafanikio na sasa ameenda kuchafua ukweni (highest rank in the family) je niendelee kuvumilia akiidhalilisha familia yangu?
Wanawake wengine pasua kichwa bana bora kuwatosa tu.nenda jukwaa la sheria...
nyie mnaosema hatuolewi wanaume wenyewe ndo hawa.??