mwarabu alievurugwa
Member
- Dec 11, 2013
- 21
- 0
Hapana kutoka nje ya ndoa unahatarisha maisha yako na yake.
Amefuata fedha hapo ndo tamaa tunazozisema hizo,unafikiri angempata Young boy mwenzake angekuwa ana--t...i--w.....a kila siku angekuja kulalamika hapa?^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^
Umeongea naye kuhusiana na hilo akakujibu nini? au umeona umri wake umeenada hana mvuto tena,hao wanaokudanganya kuwa wewe ni mrembo hawakukuoa waliishia kukuchezea tu umepata aliyekusitiri unasahau,ukiachika hao unaosema wanakusifia wanauwezo wa kukugharamia kama mumeo? Usichukue udhaifu wa mumeo kama fimbo ya kumuadhibu usipozingatia utakuja kujuta,kama unataka kuendelea na hao wengine mwambie mbaba wa watu kuwa hakuridhishi ili akuache uende huko usije ukamletea maradhi!Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
ananicare kwa kila kutu icpokuwa apo nliposema
Kuolewa na kufunga ndoa ni maneno tofauti?
Unaweza kuolewa na wa age yako akawa analala bar na kushinda nyumba ndogo. Maisha hayana formulae. Kuna mama anasemaga ujenzi wa mbezi beach, mkuranga, kimara ama kuhamia kwenye apartment masaki kila moja ina formulae yake. Ukitaka kuleta ujenzi wa mbezi beach kwenye dongo finyanzi la kimara mbona utalala nje?
Huu umri wa mumeo -49 years -ni sawa na wa William Malechela (Le Mutuz) na umri wako 26 ni sawa na ule wa mchumba wake. Je, unayemzungumzia ndiye huyo, huyo Le Mutuz???????
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia, kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha ...!