Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Hahahaa hii nashushia na lunch yangu,
Yani wewe mama Ashura ndio umeamua kuja kuniaibisha huku kwamba mwezi mzima sikuto.m.b.i. Siyo?wewe si ndio uliyejileta kwangu mpaka nikaamua kumfukuza mke wangu kipenzi au?umesahau vile vi chips kuku nilivyokua nakulisha pale city si ndio eeeh!
Ngoja ntarudi mburula wewe!