Nataka kumsaliti mume wangu

Nataka kumsaliti mume wangu

!
!
Wow!...what a coincidence this is? I ve been looking for you. Hebu nipm bana tuongee yetu private
 
ananicare kwa kila kutu icpokuwa apo nliposema

Hahahaaaa chagua kukandamizwa vizuri na masikini au kupapaswapapaswa na tajiri wako anaekupa kila kitu! Huwezi kuvipata vyote kwa wakati mmoja!
Kazi kwako! Au mcheat tajiri ila akijua wafwa!
 
peleka tangazo TBC
af utawahi offer ya mwaka mpya ujue!!
 
hapo hujaolewa na Huna tofauti na kimada.miaka yote hiyo unadhini .mwambie mkafunge ndoa akikataa Jua hakupendi .mwambie akueleze ukweli Kama anakupenda.kukuchukua kazini ni wajibu wake na pia labda kuna mambo ambayo anaona ukijayajua itakuwa soo do maana kila wakati anakupitia hiyo yote ni kukufanya usijue kinachoendelea.wanaume ni zaid ya utujuavyo.usigawe penzi Lako kwa mtu ambae huna mapezi Naye ya dhati.lind ndoa yake utaheshimika milele.
 
Haya sasa wale wa ohoo vijana wa dot.com mtasubili sana wazee ndio mpango mzima.. Oneni mwenzenu yanamtokea puani mpaka anafikiria kusaliti ..nyooo!
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

.....dada'ngu

siri kubwa ya jambo hili ni wewe, ....yaani, tatizo lipo kwako,
Jichunguze kwanza kwanini mumeo hana hamu nawewe ingawa anaonekana
alikuwa anapenda sana vya nje...

bila kujichunguza, utaongeza idadi ya #ZIMAMOTO , I mean idadi ya wanaume wataokuwa wanaonja
na kukimbia...
 
Pole sana, Ila nakushangaa sana wakati unaolewa hukuliona hilo? Ilikuwaje uolewe na mtu aliye kuzidi miaka 23? Nahisi ilikuwa ni pesa ndo zilizo kuvuta! usipende ushauri wa mtu ili ufanye dhambi chagua mwenyewe kwani wakati anakupa pesa zake kipindi kile upo shule uikuwa unafurahi sasa ndo uone madhara ya ndoa za kutofautiana sana umri

Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
 
davina "ndo" yako ni miaka 5 au 7?

Halafu bado upo mkoani ulipohamia kikazi au bado,

na kama bado, unaendelea kumsaliti 'mumeo' kwa mshefa ua yule kijana mdogo anayependa starehe?
 
yan ana umeolewa na baba yako halafu unaomba ushauri??? angekuwa na umri kama 28 to 35 sawa, lakini hapo ulichemka. Nyie ndo huwa mnaharakisha af yakiwashinda mnaomba afe ili upate mirathi halaf na nyie mnaenda kuchukua vitoto. Vumilia tu
 
Ulikuwa upo after money .sio kimapenzi zaid.fight mume wa rika yako anaweza kukuridhisha
 
Vunja ukimya kwa hisani ya watu wa marekani!!ndio ushauri wangu wa bure!!
 
davina "ndo" yako ni miaka 5 au 7?

Halafu bado upo mkoani ulipohamia kikazi au bado,

na kama bado, unaendelea kumsaliti 'mumeo' kwa mshefa ua yule kijana mdogo anayependa starehe?

ahhahaha nalokupendeamo lingine mwanafunzi wangu ni makumbukumbu.
uko vizur sana kwenye haya makitu.
bravo.
 
Nashangaa posts nyingi zinamshambulia mtoa mada hivi ni sawa mwanaume kuoa mke na kumnyima sex? Yeye kama alikuwa hawezi kwa nini alioa. Mara malaya, sijui kaolewa na mzee mara anajiuza. Lakini tutabue kuwa ngono ndio msingi wa mahusiano ya ndoa. Ndio kitu kinachomtoa mwanamke kwao kwenda kwa mume. Mimi nadhani bora wanaotoa suggestion ya yeye kikaa na mumwewe watafute ufumbuzi kuliko kumshambulia. Nani mwenye uwezo wa kumvumilia mwenzi wa ndoa asiyetaka sex mwezi mzima au zaidi? Suala sio umri mbona hata wenye vijana wenzao wanalalamika? Unaweza ukakuta nyumbani mzembe lakini mitaani anawajibika vilivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom