Nataka kumsaliti mume wangu

Usichukue uwamuzi eti kwa vile na yy anatoka humkomeshi utachoka ww na huko utakapochagua hakuna amani ya kudumu vurugu zipo ufanye ukijua
 
We ma laya acha upumbavu hiv hujui kuolewa ni dili sikuhizi ?we umepata zali unalichezeaa warembo wangapi wapi kitaani hawana waume ulivyo Huna akili unaomba ushauri ipo sasa usije kumletea anko ngoma bure
 
maji uliyashayavulia nguo shart uyaoge!! ndoa ndoano! c lazma ye akuanze , we mtege uone! msiish kimazoea!
 
utaolewaje huku haujafunga ndoa? weka waz kwamba ni small house.jilie vyako bibie umri wenyew huo na kubanwa na vibab inahusu
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

Hapo ktk bluu nimepapenda sana! Na hapo ktk red pia pamenivutia! Kkt green hapo ni ushahidi kuwa hamna amani wewe na kibabu chako! Hiyo purple inamaanisha una mateso kilo 50, huna amani wewe! Kumbe mwanamke akitakwa na wanaume wa3 tayari mrembo! Pole! Naomba uniongeze na mimi niwe wa4! Mrembo umejipeleka kwa kibabu, uliwaza nn? Una hamu na EDA wewe! Ujana alikula na nani uzee ale na wewe! Hiyo 46-26 ina maanisha hukuwa na raha yyt ktk hayo maisha, umechelewa sana kutaka ushauri na hata kufanya maamuzi!
 
Hurumaaa yako iko wapi Duniaa ohoo,

Mzee wa watu kakupenda anakuhudumia, milo mitatu kwa siku na mambo Kibao,

Kupungukiwa kwake Nguvu unataka kugawa Kidudu kwa Wanaume Wengine,!.

Nachoweza kukushauri Ongea na Mmeo huyo,Muelezee unavyo jisikia akikaa mdaa mrefu Bila kukugegeda,Akishindwa na Wewe ukishindwa kuvumilia.

Karibu Mtaani si tupo tutakumega kwa elfu 10 mpaka 50, lakini kula ,Kulala na usafiri wakukutoa kazini ni juu yako,Na kuniona tena mpaka nipate Pesa.
 
Kwa uzoefu wangu hakuna kipindi kigumu kama kusubiri majibu ya H.I.V
Nipo hospital moja huku abroad sasahivi ninapochangia hii thread yako,kufanya medical checkup leo ndio nimepokea majibu. Nipo safi na nilikuwa najijua kuwa nipo safi kabla ya kupima.
Ila jana usingizi ulikuwa mgumu sana nilikumbuka rafu zote nilizowahi kucheza.
Sasa basi my take; wakati unaingia ktk hiyo ndoa hukulazimishwa bila shaka, na ulikuwa unajua age ya bwana wako na ukaridhia.
Hivyo basi usikubali kufuata roho ya ibilisi, kuwa mvumilivu ili usijute.
Na hao mabwana wa maofisini mnaopeana hugs and kisses mwisho wa siku watakumwaga tu.
 
We ma laya acha upumbavu hiv hujui kuolewa ni dili sikuhizi ?we umepata zali unalichezeaa warembo wangapi wapi kitaani hawana waume ulivyo Huna akili unaomba ushauri ipo sasa usije kumletea anko ngoma bure

umalaya wangu ni upi?kama hujaona cha kuchangia cjakuita
 
Aisee unataka tuhalarishe dhambi zako, iyo itakuwa ngumu..mbona ease ni maelewano tu,.vunja ukimya mwambie makavu vitu gani u want him to do 4u, taratibu ataanza kulainika na utashangaa mwenyewe..try it and bring feedback here..ujachelewa.GO
 
Aisee unataka tuhalarishe dhambi zako, iyo itakuwa ngumu..mbona ease ni maelewano tu,.vunja ukimya mwambie makavu vitu gani u want him to do 4u, taratibu ataanza kulainika na utashangaa mwenyewe..try it and bring ofeedback here..ujachelewa.GO[/QUOTE

ok ntajaribu thnx ushauri wako ]
 
Duniani hapa kuna wanawake wa aina mbil
mwanamke halisi
mwanamke mfano wa umbo
wewe mleta mada utakuwa mwanamke mfano wa umbo wengi wao hawajui wanachofanya wewe hufai kuitwa mke wa mtu wewe ni sawa na wale wauza kuku nenda kaswampe uvunje ndoa ili uone ilivyokazi kupata ndoa wanaokuzuzua hao wakishapata chakula watakuacha na huku ndoa ikiwa matatani na inavyoonekana huna maamuzi kwa nini usiwe mkweli umwambie tu kuwa unataka au ujenge mazingira ya kuonyesha kuwa unataka kitu inaonekana tabia yako imebadilika
mkiambiwa wanawake wengine hamna akili mnakataa na utaanza kusema umetukanwa kumbe umeambiwa ukweli
nakushauri kaa naye mwambie na kama unaogopa mtumie hata sms lakini ukimwambia atakuelelwa na yeye ni mwanadamu kama wewe
msaliti ulete magonjwa kwenye ndoa halafu useme ulipitiwa na shetani kumbe ni ujinga tu
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom