ooh,kumbe nyumba ndogo,basi itakua ameichoka ya kwako kapata brandnew nyumba ndogo,chakufanya kama kweli hujiuzi tafuta houseboy msafi asienuka jasho awe anakutimizia.
Simegwi na masela
Tunza ndoa yako ya Kimila hiyo dada yangu,achana na tamaa za kijinga hizo,
Huyo unaetaka Kumpa utam huo unaamini atakugegeda mpaka ulizike??
Na usipo lizika naamin utampa mwingine na Mwingine mpaka upate wa kuku kojoza ham zikuishe,
Huoni tayari utakuwa umetoa sadaka Mwili wako?
Wanaume wote hao unao wataka Lazima wana watu wao,huoni unataka kutenda zambi ya kumnyanganya Mpenzi mwanamke mwezio?
Amsha Akili ongea na Mbabu wako mpate ufumbuzi bana.
shetani akiishaingilia kati ndo mambo huwa hivi
Sihitaj kuchaguliwa ila nafikiria kama ntakuwa nakosea ndo nahtaj ushaur
Are you serious davina? Ni kweli unamaanisha hiki ulichoandika or umepitiwa tu?
Weka picha tuone unauzur gani!? Co kujigamba tu!
Labda uwe wewe
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
Sihitaj kuchaguliwa ila nafikiria kama ntakuwa nakosea ndo nahtaj ushaur
shetani akiishaingilia kati ndo mambo huwa hivi