Nataka kumrudia msichana wangu

Habari wakuu. Kama heading inavojieleza. Nlikuwa na manzi wangu namuelewa na yy alikuwa ananielewa vzur tuu. Tulianza date last year jully nkafumania nyavu zake octoba last yr. Nakumbuka baada ya kumchapa day 1 alifuruliza kukileta wiki nzima nkawa najilia sana bila choyo ila tukaenda had January this yr tukiwa pa1 na mengi tumefanya lakin sema manzi mwenyew ni straight forward hataki longo longo na ni mtu ambaye all the time yupo serious so kiufupi ni kwamba ni msichana siependa longolongo. Sa imetokea kafunga chuo semester ya1 mwezi wa pili kaenda kwao hakupata time ya kuja kunipa kama awali tukawa tuna mawasiliano hafifu mara namtania kuhusu ex wake na yy alikuw hatak kabsa huo utani. Tumeenda mara mwezi unapta no salam ikitokea basi ni mambo poa not than 10 convo . Bahat mby alikuw na kamtndo nkimpgia nkikuta anatumika hakat simu ili kupokea yangu na in case kamaliza hanijurishi ili nimpgie sa nkaamua kulipza. one day nkampgia yupo bzy nkakata nkampgia manzi mwngne akapokea tukawa tunapga stor mara aknpgia so nkasema na mm nalipiza almost 2 minutes consecutive npo bzy akasusa .nkamalzna na mchepuko nkampgia hakupokea na ndo ukawa ugomv wangu n yy nkaona kama kabadilika na shobo kapunguza sana na ukarbu ukapungua nkasema isiwe kesi kwani kuachana shingap. Nkamtaarifu kwa txt "ukipata txt hii nitaarifu na mazungumzo na ww" ilijibiwa 2 hrs later nkampgia akapokea nkaanz kumchana kuwa amebadilika na hasomeki heeeeeee ghafla si kanisubirisha yaani natoa povu demu kapokea simu kani hold. Dah nkasema hizi dharau nkakata nkatulia km 30 sec nkampgia bdo yupo on call na hukupokea nkakaa km 3min nkapga akapokea nlichomwambia "nambie unampango gani na mapnz yetu??" alijibu straight forward "NaOMBA KUSHUKA MIMI NIMESHINDWA" nkamuuliza unamanisha kila 1 achukue 50 zake akajbu ndyo nkamwambia kila la kheri. Kuanzia siku hyo mpaka leo ni miez takrbani 3 hakuna aliemtafuta mwenzie.

Sasa wakuu kama mjuavyo sisi watoto wa kiume ni watu wakugeuza shingo . Ingawa nna watoto wazuri wengine wakali kushinda yy lakin kwa kuwa ni msichana asie taka longolongo ndo namimi naona anaumuhimu now coz ni wife material in nature .
Najua kupata demu.najua kum- retain demu na ninajua nini msichana anataka, lakini siku zote kigumu kwangu ni "KUMRUDISHA NILIE ACHANA NAE" hapa cjawahi fanikiwa hata siku1 pamoja na maufundi yangu ya kumteka mtoto wa kike na kumchapa ndani ya masaa 48 lakini ktk hili cjawahi fanikiwa hata cku1.

Nilipokwama mimi inawezekana ndo ulipobobea wewe. Nahitaji msaada wenu mtoto nimrudishe kwenye himaya yangu

Nawasilisha.
Una miaka mingapi kaka?tuanzie hapo kwanza
 
Watoto wamekua wengi sana siku hizi JF, yaani wanaufaham huu mtandao wakiwa wanasubiria matokeo yao ya NECTA baadae wanakua wanafamilia ila sasa hawajui kua humu tuna mila na desturi zetu, sasa kama aka kajamaa sijui kameandika vitu gani hapo? muandiko mbaayaaaa utazani kanawaandikia watoto wenzake wa chuo hahahaahahaha daah tuna tabu sanaa, af hawa watoto hawawezi kujua kua wengine sie ndo tunawafundisha uko vyuoni kwao au wengine sie tumepita uko waliko wao miaka karibu 7 iliyopita ila wao wanajua wana wa adress watoto wenzao na wanaweza kujibishana na wewe kabisa wakizani ata wewe si ni mburura tu huna elimu kama yao ya chuo hahahahaaha
Ni kweli kabsa ww ndo ulonifundisha ndo mana na mwandiko mbaya. Sa kama mwalimu kiazi utafosi dent awe chips.?? Thanks sir for made me who i am.
 
Sikiliza,demu wako WA Leo anaweza kuwa ex wako WA kesho,kwahyo kama unataka kuwa fundi WA kuwarejesha maex wakö lazma uwe fundi WA kuwafurahisha Sasa,kwa mfano hapo ulipo unakaa kwa braza na pesa unagemea mpaka za demu mwenyewe hv atarudi kwako kütafuta nn na una nyodo pia kama yeye?labda uanze kwa kufanya jitihada za kujenga maisha yako kwanza ili uheshimike na wanawake upande huo ili hata ukitaka kumrudia atleast akuheshimu kwa Hilo LA kuwa mwanaume mwenye kujimudu.sasa demu unataka kumrudisha akifikiria huna kitu nayeye anatongozwa na watu wenye angalau chochote anaona aje kwako kufata nn
 
Hili nalo neno. Nimekuelewa jamaa
 
Habari wakuu. Kama heading inavojieleza. Nlikuwa na manzi wangu namuelewa na yy alikuwa ananielewa vzur tuu. Tulianza date last year jully nkafumania nyavu zake octoba last yr. Nakumbuka baada ya kumchapa day 1 alifuruliza kukileta wiki nzima nkawa najilia sana bila choyo ila tukaenda had January this yr tukiwa pa1 na mengi tumefanya lakin sema manzi mwenyew ni straight forward hataki longo longo na ni mtu ambaye all the time yupo serious so kiufupi ni kwamba ni msichana siependa longolongo. Sa imetokea kafunga chuo semester ya1 mwezi wa pili kaenda kwao hakupata time ya kuja kunipa kama awali tukawa tuna mawasiliano hafifu mara namtania kuhusu ex wake na yy alikuw hatak kabsa huo utani. Tumeenda mara mwezi unapta no salam ikitokea basi ni mambo poa not than 10 convo . Bahat mby alikuw na kamtndo nkimpgia nkikuta anatumika hakat simu ili kupokea yangu na in case kamaliza hanijurishi ili nimpgie sa nkaamua kulipza. one day nkampgia yupo bzy nkakata nkampgia manzi mwngne akapokea tukawa tunapga stor mara aknpgia so nkasema na mm nalipiza almost 2 minutes consecutive npo bzy akasusa .nkamalzna na mchepuko nkampgia hakupokea na ndo ukawa ugomv wangu n yy nkaona kama kabadilika na shobo kapunguza sana na ukarbu ukapungua nkasema isiwe kesi kwani kuachana shingap. Nkamtaarifu kwa txt "ukipata txt hii nitaarifu na mazungumzo na ww" ilijibiwa 2 hrs later nkampgia akapokea nkaanz kumchana kuwa amebadilika na hasomeki heeeeeee ghafla si kanisubirisha yaani natoa povu demu kapokea simu kani hold. Dah nkasema hizi dharau nkakata nkatulia km 30 sec nkampgia bdo yupo on call na hukupokea nkakaa km 3min nkapga akapokea nlichomwambia "nambie unampango gani na mapnz yetu??" alijibu straight forward "NaOMBA KUSHUKA MIMI NIMESHINDWA" nkamuuliza unamanisha kila 1 achukue 50 zake akajbu ndyo nkamwambia kila la kheri. Kuanzia siku hyo mpaka leo ni miez takrbani 3 hakuna aliemtafuta mwenzie.

Sasa wakuu kama mjuavyo sisi watoto wa kiume ni watu wakugeuza shingo . Ingawa nna watoto wazuri wengine wakali kushinda yy lakin kwa kuwa ni msichana asie taka longolongo ndo namimi naona anaumuhimu now coz ni wife material in nature .
Najua kupata demu.najua kum- retain demu na ninajua nini msichana anataka, lakini siku zote kigumu kwangu ni "KUMRUDISHA NILIE ACHANA NAE" hapa cjawahi fanikiwa hata siku1 pamoja na maufundi yangu ya kumteka mtoto wa kike na kumchapa ndani ya masaa 48 lakini ktk hili cjawahi fanikiwa hata cku1.

Nilipokwama mimi inawezekana ndo ulipobobea wewe. Nahitaji msaada wenu mtoto nimrudishe kwenye himaya yangu

Nawasilisha.
Japo sijasoma mrudie tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom