Nataka kumrudia msichana wangu

Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,447
2,000
Habari wakuu,

Kama heading inavyojieleza.

Nilikuwa na msichana wangu namuelewa na yeye alikuwa ananielewa vizuri tuu.

Tulianza date last year Jully nikafumania nyavu zake Octoba last year.

Nakumbuka baada ya kumchapa day 1 alifululiza kukileta wiki nzima nikawa najilia sana bila choyo ila tukaenda hadi January this yr tukiwa pa1 na mengi tumefanya lakini sema msichana mwenyewe ni straight forward hataki longo longo na ni mtu ambaye all the time yupo serious so kiufupi ni kwamba ni msichana asiependa longolongo. Sasa imetokea kafunga chuo semester ya1 mwezi wa pili kaenda kwao hakupata time ya kuja kunipa kama awali tukawa tuna mawasiliano hafifu mara namtania kuhusu ex wake na yeye alikuwa hataki kabisa huo utani.

Tumeenda mara mwezi unapata no salamu ikitokea basi ni mambo poa not than 10 convo . Bahat mbaya alikuwa na kamtindo nikimpigia nikikuta anatumika hakati simu ili kupokea yangu na in case kamaliza hanijulishi ili nimpigie sasa nikaamua kulipiza. one day nikampgia yupo bizy nikakata nikampgia msichana mwingine akapokea tukawa tunapiga stori mara akanipigia so nikasema na mimi nalipiza almost 2 minutes consecutive npo bizy akasusa.

Nikamalizana na mchepuko nkampgia hakupokea na ndo ukawa ugomvi wangu ni yeye nikaona kama kabadilika na shobo kapunguza sana na ukaribu ukapungua nikasema isiwe kesi kwani kuachana shingapi. Nikamtaarifu kwa txt "ukipata txt hii nitaarifu na mazungumzo na wewe" ilijibiwa 2 hrs later nikampigia akapokea nikaanza kumchana kuwa amebadilika na hasomeki heeeeeee ghafla si kanisubirisha yaani natoa povu msichana kapokea simu kani hold.

Dah nikasema hizi dharau nikakata nikatulia kama 30 sec nikampigia bado yupo on call na hukupokea nikakaa kama 3min nikapga akapokea nilichomwambia "nambie unampango gani na mapenzi yetu?" alijibu straight forward "NAOMBA KUSHUKA MIMI NIMESHINDWA" nikamuuliza unamanisha kila 1 achukue 50 zake akajibu ndiyo nikamwambia kila la kheri. Kuanzia siku hiyo mpaka leo ni miezi takribani 3 hakuna aliemtafuta mwenzie.

Sasa wakuu kama mjuavyo sisi watoto wa kiume ni watu wakugeuza shingo. Ingawa nina watoto wazuri wengine wakali kushinda yeye lakini kwa kuwa ni msichana asie taka longolongo ndo naamimi naona anaumuhimu now coz ni wife material in nature. Najua kupata msichana najua kum- retain msichana na ninajua nini msichana anataka, lakini siku zote kigumu kwangu ni "KUMRUDISHA NILIE ACHANA NAE" hapa sijawahi fanikiwa hata siku1 pamoja na maufundi yangu ya kumteka mtoto wa kike na kumchapa ndani ya masaa 48 lakini katika hili sijawahi fanikiwa hata siku1.

Nilipokwama mimi inawezekana ndo ulipobobea wewe. Nahitaji msaada wenu mtoto nimrudishe kwenye himaya yangu.

Nawasilisha.
 

Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,447
2,000
By the way naishi kwa braza ingawa nina kibarua cha kuzugia mjini hapa lakin manzi anaishi geto binafsi rum nzur kodi 80elf kwa mwezi na anaishi pekee in short hana shida wala njaa na mara nyingi alikuwa anansapot kwa mawazo na vijisent viduchu nnapo kwama sasa kipi nifanye
1.niende room kwake nimface na je nimshawishi vipi asichomoe

2. Nimchek kwa njia nyngne km cmu.txt.wasap au marafk zake ??

Nahitaji ki2 ki1 tu "ASICHOMOE" maaana akichomoa ntaumia afu ntajiskia vbaya na haitaniacha salama.

Karibuni wadau kwa mawazo yenu
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,861
2,000
By the way naishi kwa braza ingawa nina kibarua cha kuzugia mjini hapa lakin manzi anaishi geto binafsi rum nzur kodi 80elf kwa mwezi na anaishi pekee in short hana shida wala njaa na mara nyingi alikuwa anansapot kwa mawazo na vijisent viduchu nnapo kwama sasa kipi nifanye
1.niende room kwake nimface na je nimshawishi vipi asichomoe

2. Nimchek kwa njia nyngne km cmu.txt.wasap au marafk zake ??

Nahitaji ki2 ki1 tu "ASICHOMOE" maaana akichomoa ntaumia afu ntajiskia vbaya na haitaniacha salama.

Karibuni wadau kwa mawazo yenu
MKUU WE SI UMESEMA UNA WENGINE WAKAL ZAIDI YAKE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom