Nataka kumrudia msichana wangu

Nataka kumrudia msichana wangu

MKUU WE SI UMESEMA UNA WENGINE WAKAL ZAIDI YAKE
Yah wapo ila umli unaenda mkuu na huyu pekee ndo alikuw straight alihitaj hata kutambulishwa tuish pa1 sa hawa wengne bado wadogo ingawa ni wazuri lkn kupanga nao life bado sana .
 
Tumia rafik zake mkuu,
Ikishindikana hata mwanae kama ana mtoto haha,
Ushauri wangu bhan uvumilie kisha utumie
Nafikilia kutumia rafiki ake lakin dah huyu rafk ake cjui kama alkuw anajua mie natoka na best ake ingawa huyu rafk ake ndo alosababisha nkajuana na huyu manzi ...may be ntapekecha ubongo nijue kama naeza anzia hapo . Thanks kaka
 
Yah wapo ila umli unaenda mkuu na huyu pekee ndo alikuw straight alihitaj hata kutambulishwa tuish pa1 sa hawa wengne bado wadogo ingawa ni wazuri lkn kupanga nao life bado sana .
ok tuliza moyo kwanza halafu ukishakaa sawa uanze kumfatilia taratibu uone kama kuna uwezekano wa yeye kukukubalia
 
Guys hili gazeti kwenye tecno yangu ya kioo nchi nne ni zito.
Naomba mtu asummarize
Nataka nimrudia nilie achana nae. Ushaur wako nitumie njia gani ??

Short n clear
 
Pole mkuu, huyo amerudi kwa ex wake ambaye ulkuwa unamkumbushia kumbushia. We fanya mipango mingine tu ukimfatilia utampa kichwa,... though utajizarau sana
Una mawazo kama yangu....hua naamini msichana huwa hageuzi shingo afu pia swala la kumkumbushia ex wake pia ni tatzo maana kuna sku nkamwambia nmeongea na ex wako kanambia bdo mpo nae ...dogo alinimaind nkajua huyu kuna ktu namtafuta ndo kama hivi ilivo happen ..ukimfatilia ex wako ni kumpa kichwa na atakuletea nyodo weeee mpaka utajizarau. Cku zote nafeligi hapa tu na hii kitu ya kumrudia ex-wangu haijawah kuniacha salama
 
Sasa wew unatuambia unaweza kumretain girl mbona huyo umeshindwa na tena kakuacha yeye mwenyewe.
Kum retain inawezekana lakin si unajua tena nataka kulipiza kila nnachofanyiwa ndo hapo nlipoteleza. Siku ya kufa nyani miti yote.......
 
Ndio uone kwann umeachwa andika kama mwanaume wa kweli sio kama mnyoa viduku
Hii cyo riwaya. Waachie akina bold na ontorio.

Ila umeelewa c ndyo. Haya njoo kwny point na comment yako inahtajika
 
Mapenzi yakinyauka ngumu kustawi.ni wachache sana ufanikiwa.
alafu huyo demu atakuwa mnyaturu.maana nilikuwa na demu wa hivyo.ana kupa makavu bila chenga.
 
Sasa kwanini aliloose apetite nawewe, huenda wew si fundi kabisa na ulizidiwa kete na wahuni mkuu
Hakuloose apetite ila ni mazingira hayakuruhu kabsa . Npo free yeye yupo likizo kwa dada ana msaidia kulea katoto kadogo so kwa vyovyote asingeweza kupata nafasi so kuona anakosa nafasi nkaamua kuwa namzngua hadi ndo tukafka hapa ila kumbuka type ya msichana mwnyew they dont care only sex but how do you plan your future with her so mie hata habar za future ckua nazo nachojua ni kuosha rungu zen natulia.

Kama ni rungu tuu sijisifii ila sikuwahi muangusha sector hyo mkuu.
 
By the way naishi kwa braza ingawa nina kibarua cha kuzugia mjini hapa lakin manzi anaishi geto binafsi rum nzur kodi 80elf kwa mwezi na anaishi pekee in short hana shida wala njaa na mara nyingi alikuwa anansapot kwa mawazo na vijisent viduchu nnapo kwama sasa kipi nifanye
1.niende room kwake nimface na je nimshawishi vipi asichomoe

2. Nimchek kwa njia nyngne km cmu.txt.wasap au marafk zake ??

Nahitaji ki2 ki1 tu "ASICHOMOE" maaana akichomoa ntaumia afu ntajiskia vbaya na haitaniacha salama.

Karibuni wadau kwa mawazo yenu
.ni bora ukamface kwa kuwa hapo hata yy ataona umuhimu wako kwake na kuwa bado unampenda na utakapo kuwa naye wawili tu jaribu kujishusha bro wasichana wanapenda sana kunyenyekewa
 
Back
Top Bottom