Nataka kumrudia msichana wangu

Nataka kumrudia msichana wangu

Hakuloose apetite ila ni mazingira hayakuruhu kabsa . Npo free yeye yupo likizo kwa dada ana msaidia kulea katoto kadogo so kwa vyovyote asingeweza kupata nafasi so kuona anakosa nafasi nkaamua kuwa namzngua hadi ndo tukafka hapa ila kumbuka type ya msichana mwnyew they dont care only sex but how do you plan your future with her so mie hata habar za future ckua nazo nachojua ni kuosha rungu zen natulia.

Kama ni rungu tuu sijisifii ila sikuwahi muangusha sector hyo mkuu.
As long as ni straight forward mpotezee mkuu si type yako huyo, oshea rungu maji mengine.
 
Wanaume tunakoseaga sana,unapokutana na dem kama huyo sio kwamba hana bwana,.bwana anakua nae ila hawez kwambia kua anae so akikukubalia wew ujue anakuweka kwenye mizani na huyo alienae,sasa wew inabid umwonyeshe mapenz ukifaham an mtu,so acha mawivu,we ukiona anaku ignore we mpetpet tuu,ujiona utata wa sim kama huo we chkulia poa tu,mwisho wa siku atakuzoea na atakupenda,mapenz ni mazoea bro,na badae akikupima akiona uko zaid ya jamaa yake ,atamwacha for good na kua nawew,sasa wew umejuana na dem fasta unaleta mawivu,.lazma umpe sabab ya kwanin amwache alienae na awe nawew,.mapenz ni mdogo mdogo na mazoea bro
 
ni bora kurudiwa kuliko kurudia..lakin kabla hujafanya ivo make sure ume declare kua una muhitaji arudi, akikataa basi kufa kivyako na maumivu yako.

kasoro zenye kasoro
 
Una mawazo kama yangu....hua naamini msichana huwa hageuzi shingo afu pia swala la kumkumbushia ex wake pia ni tatzo maana kuna sku nkamwambia nmeongea na ex wako kanambia bdo mpo nae ...dogo alinimaind nkajua huyu kuna ktu namtafuta ndo kama hivi ilivo happen ..ukimfatilia ex wako ni kumpa kichwa na atakuletea nyodo weeee mpaka utajizarau. Cku zote nafeligi hapa tu na hii kitu ya kumrudia ex-wangu haijawah kuniacha salama
Wanageuza sana hasa kama alichokuwa anakitafuta hakukipata kwingine. Cha msingi ni kwamba uangalie kama anavutiwa na wewe,kama sio hivyo utakuwa unajisumbua bure.Tatizo letu waafrika tukipendwa tunalipa kwa kiburi badala ya kulipa kwa upendo kama mwenzako anavyofanya,jifunze sasa ukimpata mwingine akakupenda na wewe mpende na umuheshimu.
 
By the way naishi kwa braza ingawa nina kibarua cha kuzugia mjini hapa lakin manzi anaishi geto binafsi rum nzur kodi 80elf kwa mwezi na anaishi pekee in short hana shida wala njaa na mara nyingi alikuwa anansapot kwa mawazo na vijisent viduchu nnapo kwama sasa kipi nifanye
1.niende room kwake nimface na je nimshawishi vipi asichomoe

2. Nimchek kwa njia nyngne km cmu.txt.wasap au marafk zake ??

Nahitaji ki2 ki1 tu "ASICHOMOE" maaana akichomoa ntaumia afu ntajiskia vbaya na haitaniacha salama.

Karibuni wadau kwa mawazo yenu

so unarud kwaajili alikua anakufavor vijisent si ndio??lakini pia umesema una manzi wakali kumzid yeye kwann usistick na hao macutelicious??nawaza tu

ila km unajidanganya unamtaka umrudie coz ni wife material naomba nikuqambie ukweli umefeli,sidhan wife material anaweza kurud kqwa mtu km ww,andika yako tu unaonekana macho juu,hujielew unataka nini sana sana unataka KITONGA
 
Wanaume tunakoseaga sana,unapokutana na dem kama huyo sio kwamba hana bwana,.bwana anakua nae ila hawez kwambia kua anae so akikukubalia wew ujue anakuweka kwenye mizani na huyo alienae,sasa wew inabid umwonyeshe mapenz ukifaham an mtu,so acha mawivu,we ukiona anaku ignore we mpetpet tuu,ujiona utata wa sim kama huo we chkulia poa tu,mwisho wa siku atakuzoea na atakupenda,mapenz ni mazoea bro,na badae akikupima akiona uko zaid ya jamaa yake ,atamwacha for good na kua nawew,sasa wew umejuana na dem fasta unaleta mawivu,.lazma umpe sabab ya kwanin amwache alienae na awe nawew,.mapenz ni mdogo mdogo na mazoea bro
Noted kaka
 
Habari wakuu. Kama heading inavojieleza. Nlikuwa na manzi wangu namuelewa na yy alikuwa ananielewa vzur tuu. Tulianza date last year jully nkafumania nyavu zake octoba last yr. Nakumbuka baada ya kumchapa day 1 alifuruliza kukileta wiki nzima nkawa najilia sana bila choyo ila tukaenda had January this yr tukiwa pa1 na mengi tumefanya lakin sema manzi mwenyew ni straight forward hataki longo longo na ni mtu ambaye all the time yupo serious so kiufupi ni kwamba ni msichana siependa longolongo. Sa imetokea kafunga chuo semester ya1 mwezi wa pili kaenda kwao hakupata time ya kuja kunipa kama awali tukawa tuna mawasiliano hafifu mara namtania kuhusu ex wake na yy alikuw hatak kabsa huo utani. Tumeenda mara mwezi unapta no salam ikitokea basi ni mambo poa not than 10 convo . Bahat mby alikuw na kamtndo nkimpgia nkikuta anatumika hakat simu ili kupokea yangu na in case kamaliza hanijurishi ili nimpgie sa nkaamua kulipza. one day nkampgia yupo bzy nkakata nkampgia manzi mwngne akapokea tukawa tunapga stor mara aknpgia so nkasema na mm nalipiza almost 2 minutes consecutive npo bzy akasusa .nkamalzna na mchepuko nkampgia hakupokea na ndo ukawa ugomv wangu n yy nkaona kama kabadilika na shobo kapunguza sana na ukarbu ukapungua nkasema isiwe kesi kwani kuachana shingap. Nkamtaarifu kwa txt "ukipata txt hii nitaarifu na mazungumzo na ww" ilijibiwa 2 hrs later nkampgia akapokea nkaanz kumchana kuwa amebadilika na hasomeki heeeeeee ghafla si kanisubirisha yaani natoa povu demu kapokea simu kani hold. Dah nkasema hizi dharau nkakata nkatulia km 30 sec nkampgia bdo yupo on call na hukupokea nkakaa km 3min nkapga akapokea nlichomwambia "nambie unampango gani na mapnz yetu??" alijibu straight forward "NaOMBA KUSHUKA MIMI NIMESHINDWA" nkamuuliza unamanisha kila 1 achukue 50 zake akajbu ndyo nkamwambia kila la kheri. Kuanzia siku hyo mpaka leo ni miez takrbani 3 hakuna aliemtafuta mwenzie.

Sasa wakuu kama mjuavyo sisi watoto wa kiume ni watu wakugeuza shingo . Ingawa nna watoto wazuri wengine wakali kushinda yy lakin kwa kuwa ni msichana asie taka longolongo ndo namimi naona anaumuhimu now coz ni wife material in nature .
Najua kupata demu.najua kum- retain demu na ninajua nini msichana anataka, lakini siku zote kigumu kwangu ni "KUMRUDISHA NILIE ACHANA NAE" hapa cjawahi fanikiwa hata siku1 pamoja na maufundi yangu ya kumteka mtoto wa kike na kumchapa ndani ya masaa 48 lakini ktk hili cjawahi fanikiwa hata cku1.

Nilipokwama mimi inawezekana ndo ulipobobea wewe. Nahitaji msaada wenu mtoto nimrudishe kwenye himaya yangu

Nawasilisha.
 
Attachments

  • IMG_20170423_205524.jpg
    IMG_20170423_205524.jpg
    43.8 KB · Views: 25
na maufundi yangu ya kumteka mtoto wa kike na kumchapa ndani ya masaa 48 lakini ktk hili cjawahi fanikiwa hata cku1.

Nilipokwama mimi inawezekana ndo ulipobobea wewe. Nahitaji msaada wenu mtoto nimrudishe kwenye himaya yangu

Nawasilisha.
Mkuu, huo ufundi wako utakuwa hatari kama silaha za Urusi...
 
By the way naishi kwa braza ingawa nina kibarua cha kuzugia mjini hapa lakin manzi anaishi geto binafsi rum nzur kodi 80elf kwa mwezi na anaishi pekee in short hana shida wala njaa na mara nyingi alikuwa anansapot kwa mawazo na vijisent viduchu nnapo kwama sasa kipi nifanye
1.niende room kwake nimface na je nimshawishi vipi asichomoe

2. Nimchek kwa njia nyngne km cmu.txt.wasap au marafk zake ??

Nahitaji ki2 ki1 tu "ASICHOMOE" maaana akichomoa ntaumia afu ntajiskia vbaya na haitaniacha salama.

Karibuni wadau kwa mawazo yenu
Umariooo haujawahi kumuacha mtu salamaa
 
Watoto wamekua wengi sana siku hizi JF, yaani wanaufaham huu mtandao wakiwa wanasubiria matokeo yao ya NECTA baadae wanakua wanafamilia ila sasa hawajui kua humu tuna mila na desturi zetu, sasa kama aka kajamaa sijui kameandika vitu gani hapo? muandiko mbaayaaaa utazani kanawaandikia watoto wenzake wa chuo hahahaahahaha daah tuna tabu sanaa, af hawa watoto hawawezi kujua kua wengine sie ndo tunawafundisha uko vyuoni kwao au wengine sie tumepita uko waliko wao miaka karibu 7 iliyopita ila wao wanajua wana wa adress watoto wenzao na wanaweza kujibishana na wewe kabisa wakizani ata wewe si ni mburura tu huna elimu kama yao ya chuo hahahahaaha
 
Back
Top Bottom