Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

natumai mko poa wakuu

huwa nachukia sana wahalifu wanaofanya matukio na kukimbia mkono wa sheria,zaidi namchukia sana yule anayemficha muhalifu asiweze kukutana na adhabu anayoistahili kuipata baada ya kufanya uhalifu wake.
Acha kiherehere mbona unakuwa mnoko sana kama mbuzi mwenye nyenge,sawa ameua yawezakua ilikuwa bahati mbaya. Kausha maisha yaendelee dunia ni gurudumu linanozunguka kwani wewe unajua Baade yako?
 
Sasa mmewezaje kuishi na mharifu huyo anayetengeneza kizazi cha mateja?? Mkimlea ata watoto wenu watakua mateja! Ukila nyama ya mbwa huwezi kuacha. Yaani huyo bwana ashaua akakimbia hata huko kwenu atakuja kuua alafu akimbie. Tunahitaji watu wema kwenye jamii zetu siyo kuanza kuogopana sisi kwa sisi.
 
Nakumbuka wakati wa kufuata vitu kenya kuna askari polisi alikuwa anatusumbua sana hiyo ililuwa miaka ya 70’s siku ile kuna tukio moja nilifanya kwa yule askari.

Nilishatubu maana ilikuwa katika utafutaji enzi za ujana, kwa ufupi ni kwamba apumzike kwa amani yule askari maana ilikuwa nife mimi ama afe yeye bahati nzuri aliondoka yeye kwa maumivu makali.
 
tukio lilitokea Mburahati Dar es salaam.Case yake ipo Pale Police Mburahati.Marehemu Alimreport huyu jamaa kwa Police kuwa anauza Mihadharati!.Jamaa akakutana na Marehemu kichochoroni maeneo ya Mburahati kota ndipo alipomchoma visu mpaka kupeleka umauti wa jamaa.kisha akakimbia
Aiseee
 
Acha kiherehere mbona unakuwa mnoko sana kama mbuzi mwenye nyenge,sawa ameua yawezakua ilikuwa bahati mbaya. Kausha maisha yaendelee dunia ni gurudumu linanozunguka kwani wewe unajua Baade yako?
Duuu hivi umewaza maimivu aliyopata mhanga mpaka kifo chake? Hiv unajua familia yake marehemu ilibaki na hali gan?? Alafu lijamaa linajitapa! Anyway bila shaka hujaguswa.
 
Nakumbuka wakati wa kufuata vitu kenya kuna askari polisi alikuwa anatusumbua sana hiyo ililuwa miaka ya 70’s siku ile kuna tukio moja nilifanya kwa yule askari.

Nilishatubu maana ilikuwa katika utafutaji enzi za ujana, kwa ufupi ni kwamba apumzike kwa amani yule askari maana ilikuwa nife mimi ama afe yeye bahati nzuri aliondoka yeye kwa maumivu makali.
☕☕☕☕
 
Duuu hivi umewaza maimivu aliyopata mhanga mpaka kifo chake? Hiv unajua familia yake marehemu ilibaki na hali gan?? Alafu lijamaa linajitapa! Anyway bila shaka hujaguswa.
Kama akimchomea police huyo marehemu atafufuka ?? Aache ipite kama kweli aliua bila kosa basi karma naye itamrudi
 
Hakikisha hawakujui kama ww ndo umetoa taarifa
Na Mimi ndo namshangaa huyu jamaa halafu akienda kumripoti Polisi kwamba ameua wata muuliza una ushahidi Gani? Atasema amesikia wanasema ameua.. Dah kumbe ni mambo ya kusikia Tu " hear say" KINGINE watamuuliza hizo taarifa anazo Kwa muda Gani? Kama Ni Zaidi ya mwezi mmoja Na yeye atajumuishwa kwenye case kama accessory after the fact.Wataswekwa wote ndani ili asaidie upelelezi. The will treat him as his accomplice and he will become his partner in sufferance
 
tukio lilitokea Mburahati Dar es salaam.Case yake ipo Pale Police Mburahati.Marehemu Alimreport huyu jamaa kwa Police kuwa anauza Mihadharati!.Jamaa akakutana na Marehemu kichochoroni maeneo ya Mburahati kota ndipo alipomchoma visu mpaka kupeleka umauti wa jamaa.kisha akakimbia
Wewe binafsi Kuna Jambo amekukosea ?????
 
tukio lilitokea Mburahati Dar es salaam.Case yake ipo Pale Police Mburahati.Marehemu Alimreport huyu jamaa kwa Police kuwa anauza Mihadharati!.Jamaa akakutana na Marehemu kichochoroni maeneo ya Mburahati kota ndipo alipomchoma visu mpaka kupeleka umauti wa jamaa.kisha akakimbia
Kumbuka wewe pia ulizalisha mwanafunzi tabola ukakimbilia huko mwaka wa nane huu au nawe tukuchome ? Sio fresh mkuu
 
Laiti kama angekuwa ndugu yako kauliwa je ungeweza kuandika vile mkuu
Achana nae beefs sio nzuri just move on Mungu mwenyewe atapambana nae unaweza kujiingiza katika uadui USIO na kichwa Wala MIGUU. Tafuteni Amani Na Kila MTU. ..

Tupac alivyo pigwa risasi wakati Yupo hospitalini askari walimfuata kumuhoji.

Askari: Do u know the guy who shot you?

Tupac : Yes I know him.

Askari: Can u tell us what is his name?

Tupac : Fvk u beech...

Suge Knight Sasa mwandishi anamuhoji:
Mwandishi : Mr Suge if u happen to know the guys who killed Tupac would u like to report them?

Suge : No.

Mwandishi : Why?

Suge : Because I am not a snitch and I cannot snitch on anyone in any manner whatsoever.

50 Cents baada ya kupigwa risasi Tisa aliulizwa Na askari wapelelezi." do you know the guys who shot you? Akajibu " Yes I do" wakamuuliza Tena " can u tell us who are they "? Akawajibu " Nope thank you".
 
Unataka kutueleza ujumbe gani kaka katika maisha haya na dunia hii.
Tuishi kwa kusamehe haijalishi wanatumiza au wanatutendea mabaya kiasi gani?

Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga!
Hata kama tuna huruma basi iwe kiasi
Upendo wetu uwe kiasi
Chuki yetu iwe kiasi

Maisha yatawaliwe na ukiasi na tukubali kuwajibika katika makosa yetu..
 
To r

Torati ya street inasema usiwe snitch cause snitch got stitches.

Tunamshauri mtoa Mada aache kabisa kudili Na majambazi wauaji.

What if akienda kumripoti Polisi halafu Polisi wakaenda kumtonya jamaa muuaji?

Ndio maana wahenga walisema " Funika kombe mwanaharamu apite'
 
Back
Top Bottom