Nataka kulima, ushauri wenu tafadhalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kulima, ushauri wenu tafadhalini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbimbinho, Dec 15, 2011.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana B&E,

  Nahitaji nijishughulishe na kilimo hasa cha mahindi kwa kuanzia ekari 40 or 50 next year.
  Ni mikoa gani ambako kupo vizuri kwa kilimo hiki? sehemu ambayo naweza pata eneo la kukodi.
  Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili niweze fikia lengo?

  Mbimbi.
   
 2. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  nakushauri usome kwa umakini thread inayoenda kwa title " NIMEAMUA KULIMA KWA MARA YA PILI" iliyoanzishwa na ndugu yetu Elnino
   
 3. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  When is the last time you used professional advice in handling issues, well try this time, consult expert in agribusiness, get some agriculture books di some basic techniques, surely you'll gain some! We love corner cuts and doing a lot traditionally which sometime is not necessary the best way!
   
Loading...