Nataka kujua uhalali wa Kalynda E- commerce

Nataka kujua uhalali wa Kalynda E- commerce

Ipo hivi.. huu ni mchezo wa pesa.. hakuna biashara pesa yako inaenda kufanya.. isipo kuwa ukiweka 20K inaenda kumlipa mtu aliye kutangulia ili awahakikishie wengine kuwa inalipa.. pyramid scheme huwa zina mwisho hasa pale ambapo pesa inayo ingia kutokana na watu wapya inakuwa ndogo kuliko pesa inayotakiwa kuwalipa wale walio tangulia..
Sasa una tofauti Gani Na Deci?
 
Mtaulizwa mlikuwa hampati faida? Mlitishiwa msipotuma pesa? Mlikuwa hamfurahii huduma? Mlikuwa hamnunuii izo bidhaa? Majibu yote yatakuja yes mtaulizwa mnamshatki nani kama pesa mlikuwa mnanunua bidhaa ,
 
Kuna watu wanapenda kitonga aisee..
Network marketing
Betting
Hapana kwa kweli
 
Ila wabongo wanapenda kupigwa, afu mwisho wa siku kulalamika,kama hamkujifunza desi,qnet msilalamike endeleeni kujiunga tu kila kampun inayofunguliwa,,,watu wanapenda miteremko sana aisee!
 
Sisi wenyewe pia tulishawishiwa ila all in all mimi sijapigwa maana nilishatoa zamani nikasepa zangu
Wote wanasema hivyo ila humu ulikua unashawishi watu matapeli wamekimbia mnakuja na mguu mmoja nikatoa nikasepa zangu mara hata hivyo nimekula nyingi...
 
Guys kuna hiii kampuni ya e commerce inaitwa kalynda E-commerce hivi hiii kampuni ni halali au ndio kama wale wazee wa Good morning

Maana naona ITV na redio nyingi tu wanaipa airtime sana hua siziamin sana hizi online issues lakin

Piaaa naomba mmoja anisaidie kuangalia huko Brela kama imesajiliwa kweli

View attachment 2353523View attachment 2353524
Deci,Qnet, Jatu Plc etc,etc.
 
KYL.gif
 
Guys kuna hiii kampuni ya e commerce inaitwa kalynda E-commerce hivi hiii kampuni ni halali au ndio kama wale wazee wa Good morning

Maana naona ITV na redio nyingi tu wanaipa airtime sana hua siziamin sana hizi online issues lakin

Piaaa naomba mmoja anisaidie kuangalia huko Brela kama imesajiliwa kweli

View attachment 2353523View attachment 2353524
Watu watatoka machozi soon😁😁
 
Wote wanasema hivyo ila humu ulikua unashawishi watu matapeli wamekimbia mnakuja na mguu mmoja nikatoa nikasepa zangu mara hata hivyo nimekula nyingi...
Ukialika mtu kulikuwa na gawio fulani unapata kwa hiyo inabidi uconvice watu wajiunge kupitia link yako ili upate gawio lako ila uvumi ulikuwepo kuanzia katikati ya mwezi wa 9 kuwa jamaa wanataka kukimbia walijaribu kutupoza na kudai huo ni uongo, lakini sisi wengine tuliamua kutoa hela na kuachana nao ila wengine waliamua kukomaa ndio hao wanaolia
 
Wakenya na Wanigeria watawapiga sana hao Watanzania ni chambo tu hizo tunaita washa washa na zipo nyingi mno hiyo ni moja ya sindano zake watakuja na dozi zingine tena wanaenda kwenye Nchi wanayolalamika sana kuhusu maisha magumu..
 
Back
Top Bottom