Nataka kujua uhalali wa Kalynda E- commerce

Usilolijua ni kama usiku wa Giza. Nyie endeleeni kuwa na mashaka wakati wenzenu twala, tena kiulaini bila jasho wala bughdha.

Yaani kuitilia shaka Kaylanda ni sawa na wapinga chanjo ya CORONA ambao hadi leo wanasubiri waliochanja wageuke mazombi.
 
wacha bhuanaaaaa....
 
k
Mimi mwenyewe nilifikiri wame edit sio Itv Lakini jana naangalia ITV naona kipindi kile cha michezo segment ya habar wanawatangaza hawa mabwana na redio nyingi sana zinawatangaza
ama wanavyotangaza mchongo pesa au sio
 
unanunua bidhaa hewa 20 kilasiku na mtaji wako ulioweka haukatwi badala yake unaongezewa hela tena kama faida?,wewe uliona wapi haya mambo ulimwengu huu wa sasa ulivyo mgumu kupata fedha?!.

mimi sichezi na sitojaribu,ila nyinyi mnaocheza mtakuja kuwa mabilionea wakubwa nawahakikishia.nipo nimekaa pale ,,jina langu naitwa Kibogoyo.
 
Binafsi huu mkeka ushaanza kusoma kitambo kwetu sisi wachimbaji huwa tupo na roho ngumu na kupoteza ni moja ya changamoto na elimu pia katika maisha, nitawapa mrejesho siku nikipigwa na hawa jamaa.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
unanunua bidhaa hewa 20 kilasiku na mtaji wako ulioweka haukatwi badala yake unaongezewa hela tena kama faida?,wewe uliona wapi haya mambo ulimwengu huu wa sasa ulivyo mgumu kupata fedha?!.

mimi sichezi na sitojaribu,ila nyinyi mnaocheza mtakuja kuwa mabilionea wakubwa nawahakikishia.nipo nimekaa pale ,,jina langu naitwa Kibogoyo.
eti nimekaaa oale
 
3E066511-8623-4AAE-B34E-585412CC3F6D.png
 
Kaka hvyo vyeti vya brela au Toka mamlaka yoyote ya nchi hii vskupe uhakika wa uhalali........makampuni mangapi hewa yalpga hela tz na kusepa???kumbuka kashfa za tanesco na makampuni ya madini.....hyo ni Advanced DECI
 
Inawezekana aliyepata faida zaidi aliweka zaidi ya hiyo elfu 20
Ndugu huyo hakukuelrwesha vizuri kalyinda inakulipa faida kulingana na hela uliyoweka na kazi iliyoifanya kama umeweka elfu 20000 utapata 800 kasiku ambayo ni 4% ila kadri hela inavoongezeka na malipo yanapanda pia atakae weka laki moja atalipwa asilimia 4% ya hiyo laki moja ni ukweli mtupu
 
Bwana tapeli mmeshawqpiga ngapi watanzania hadi sahii
Ndugu huyo hakukuelrwesha vizuri kalyinda inakulipa faida kulingana na hela uliyoweka na kazi iliyoifanya kama umeweka elfu 20000 utapata 800 kasiku ambayo ni 4% ila kadri hela inavoongezeka na malipo yanapanda pia atakae weka laki moja atalipwa asilimia 4% ya hiyo laki moja ni ukweli mtupu
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza. Nyie endeleeni kuwa na mashaka wakati wenzenu twala, tena kiulaini bila jasho wala bughdha.

Yaani kuitilia shaka Kaylanda ni sawa na wapinga chanjo ya CORONA ambao hadi leo wanasubiri waliochanja wageuke mazombi.
Ukeendelea kula huko
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza. Nyie endeleeni kuwa na mashaka wakati wenzenu twala, tena kiulaini bila jasho wala bughdha.

Yaani kuitilia shaka Kaylanda ni sawa na wapinga chanj
Usilolijua ni kama usiku wa Giza. Nyie endeleeni kuwa na mashaka wakati wenzenu twala, tena kiulaini bila jasho wala bughdha.

Yaani kuitilia shaka Kaylanda ni sawa na wapinga chanjo ya CORONA ambao hadi leo wanasubiri waliochanja wageuke mazombi.
Tayari Kayland ishawageuza misukule. Una lolote la kusema?
 
Sisi wengine ni kenge huwa hatusiki hadi damu itutoke masikioni. Na kwa sisi wachimbaji kupoteza ni sehemu ya kujaribu kupata. Ndo maana hata usikie watu wamefukiwa na kifusi, kesho yake utaona watu wanaingia shimo la pili kuendelea na uchimbaji so listen to your heart jamani.
Mwenye uthubutu wa kujaribu huwa haogopi kupoteza 4% daily mie naona iko poa kulingana na mtaji wako.
 
Ndugu huyo hakukuelrwesha vizuri kalyinda inakulipa faida kulingana na hela uliyoweka na kazi iliyoifanya kama umeweka elfu 20000 utapata 800 kasiku ambayo ni 4% ila kadri hela inavoongezeka na malipo yanapanda pia atakae weka laki moja atalipwa asilimia 4% ya hiyo laki moja ni ukweli mtupu
Acha uongo
 
Back
Top Bottom