Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,737
- 50,122
Kuna muda naambiwa shkamoo nazuga sijaskia....hivi fitoto vya 2002++ fumbafu sana😅😅😅 Ndiyo ukiona hivyo ujue ushakuwa Mubaba
Kuna muda naambiwa shkamoo nazuga sijaskia....hivi fitoto vya 2002++ fumbafu sana😅😅😅 Ndiyo ukiona hivyo ujue ushakuwa Mubaba
Vijana tuna kazi kwakweli so mchezoUpumbavu tu
Dah mkuu picha aziusiani kabisa lakini jambo ili ni halisi kabisaHivyo vipichapicha vimeondoa userious.... jitahidi uwe unaleta uhalisia
PoleDah mkuu picha aziusiani kabisa lakini jambo ili ni halisi kabisa
Pamoja brotherKama utaichukua hii itakuja kukusaidia , wanawake hawana huruma na wewe kwa namna yoyote ile kama hutokuwa na kipato cha kueleweka , kijana wa 2000 bado mdogo sna kwa mwanaume
Asante mkuuPole
DIVISHENI FOO usituharibie vijana alaaEwaaaah vitu napenda upo wapi Mimi mwanza mkuyuni
Sana mkuu.Acha nae huyo mkuu, tafuta mwingine..
Hapana ili sio tangazo mkuu ni jambo real kabisa Sina muda wa kutafuta mtelezo mi si kijana wa ovyoDogo lipia tangazo, ubaya mishangazi ya jf ni bahili kinoma.
Copy hili tangazo kapaste insta au Facebook
Inaonekana mpo katika payroll na watu Fulani kwa lengo fulani la kusambaza maudhui fulani yenye lengo Fulani
Hakuna kitu kama hicho nsomileInaonekana mpo katika payroll na watu Fulani kwa lengo fulani la kusambaza maudhui fulani yenye lengo Fulani
Thread ifungwe, tukale chips.....na watu wazito wazito wakale ugali.Kinyume chake...
Haumfikishi popote...
Mkuu kama ni swala la mapenzi Nina uwezo wa kumkojoza mwanamke Kwa muda mfupi tu sema uyu alikuwa mbinafsi akifika yeye Mimi Bado ndio imeisha iyo mbinafsi sana kwakweliKifupi humridhishi
Kajidanganya na hapa ndio nimeamini kumbe wanawake pia Wengi wenu wabinafsi kwenye tendo yaani swala la muhimu kabisa Mimi ninapokuwa na mwanamke kitandani lazima afike yeye kwanza then ndio Mimi sasa uyo akisha fika tu yeye ndio imeisha iyo nawakati Mimi badoThread ifungwe, tukale chips.....na watu wazito wazito wakale ugali.
Piga chiniKajidanganya na hapa ndio nimeamini kumbe wanawake pia Wengi wenu wabinafsi kwenye tendo yaani swala la muhimu kabisa Mimi ninapokuwa na mwanamke kitandani lazima afike yeye kwanza then ndio Mimi sasa uyo akisha fika tu yeye ndio imeisha iyo nawakati Mimi bado
Umri unaenda siyo powa 😁😁Kuna muda naambiwa shkamoo nazuga sijaskia....hivi fitoto vya 2002++ fumbafu sana
Chapu tu .Piga chini