Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,351
Wakuu Salama!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada naomba majibu wakubwa Mimi kijana wa 2000 (elfu mbili) ivi ni kweli inawezekana kabisa mke kunikimbia kisa eti anasema Nina mchosha sana kitandani kwenye tendo la ndoa, kabla ajaondoka alianza kuwambia majirani wa mama wa mtaa eti waniambie nitafute saizi yangu yeye ni mdogo sana Mimi sio saizi yake 🤔
Yaani Mimi wa elfu mbili yeye wa elf mbili na mbili eti nimekuwa mkubwa sana kwake mpaka kwenye tendo niwenamuumiza eti nafanya Kwa nguvu na Mimi ndio nimezoea ivyo je kwaiyo Mimi ndio wa kwanza kufanya tendo Kwa show za kibabe dunia hii sitaki kuamini naomba majibu wakubwa Mimi kijana wa 2000!!!