Nataka kujua Bajaj Maxima Z zinapatikana wapi?

Nataka kujua Bajaj Maxima Z zinapatikana wapi?

baiser

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,487
Reaction score
2,261
Nimevutiwa na aina hii ya bajaji inaitwa maxima Z kwamba inaweza beba abiria mpaka sita
Nataka kujua zinapatikana wapi ,na je ubora wake ukoje pamoja na bei zake.

IMG_20200202_091349_9.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia natamani kujua kuhusu hii bajaji, Bila shaka zinapatikana namba zao zitakuwepo kwenye hicho kipeperushi. Fanya kuwapigia halafu ukipata majibu unitag namm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moro kuna duka ni agent wa hzo kitu,zipo za kumwaga sana na zinanunuliwa balaa
 
Back
Top Bottom