Nataka kujiunga freemason

chondechonde ndugu yangu naomba unifute katika hiyo list sitaki na wala simo huko acha kuniingiza kiaina aina huko ushindwe na ulegeee na kuangukia baharini
freemason ni ya baba yangu, acha kudanganyana. Na kwa taarifa zenu tu ni kwamba baba yangu ndiye mmiliki wa kila gari lenye plate number za njano, nyekundu, kijani, blue, nyekundu, nyeupe na nyeusi.
Ukiona chombo chochote kinapita angani, majini, ardhini na kwingineko ujue ni mali ya baba yangu na mimi ndio msimamizi.
ÇC Mamndenyi na mwaJ tu hapa hamna cha ladyfurahia, saudari wala watu8
 
Ndo maana mwaJ anampango wa kukusaliti.
Aione Mamndenyi kwa mipasho.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji tena usinitaje kabisa kwenye hii kitu
mimi nilikaribia kabisa kuingia,
daaaah, sitaki kabisa
endelea ila mimi sipo nimesema.
Daah! Best ilikuwaje mpaka ukaribie kujiunga? Huo utajiri wa masharti na waupate tu wanao utaka, ni heri na kidogo nipatacho maana sina wakumtoa kafara maana ninawapenda wote.
 
saudari, hivi hauyajui ya mwaJ na Bujibuji,
mimi nilipewa onyo na mwaJ kuwa hataki kabisa kulisikia hilo jina
hapa Bujibuji anaomba nimbembelezee kwa mwaJ, lakini hiyo iko nje ya uwezo wangu,
na yote ya kuanzisha huu uzi anajifagilia ili mwaJ amrudie, lakini nasikia kuwa naniii yake hapandi mtungi,
(ni siri lakini).

Ndo maana mwaJ anampango wa kukusaliti.
Aione Mamndenyi kwa mipasho.
 
Last edited by a moderator:
nilivyojiunga na free masonry na kuibuka bilionea. mimi ni mfanya biashara maarufu jijini dar es salam,ingawa nyuma ya pazia ni mtumishi wa imani ya free mason.ilikuwa sio kazi rahisi kujulikana ukiutazama uso wangu na kunijadili usingefikilia iwapo ningeweza kujiunga na free mason.nilionekana mtu mwenye upendo,mnyenyekevu,mtiifu na anaejali watu bila ubaguzi lakini katili sana. Nilijiunga na free mason mwaka 2004 nikiwa jijini arusha,nikiwa na jopo la waumini wa free mason.kipindi hicho wakati najiunga ilikuwa ni siri kubwa sana na siku zote nilitamani kuendelea kujificha,ila kutokana na stori za uongo zinazo andikwa na kusimuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.nimeamua nieleze ukweli namna nilivyojiunga na kuwa bilionea.pia nitawatajia baadhi ya vigogo waliopo free masons. Sitaki kuwafundisha watu wafanye hivi kwasababu najua itawaghalimu maishani mwao,naomba ikumbukwe kuwa sio kila utajila unaweza kuwa mzuri.hivi hujui kuwa wapo matajiri wanaoteseka kwa kuwatoa ndugu, wazazi wao kafara, katka kuua. Jina langu la ubatizo naitwa michael peter mabinga,natoka wilaya ya same mkoani kilimanjaro,kabila langu ni mpare wa chome nasema chome kwasababu ndipo chimbuko la kizazi cha mababu zetu.lakini nimekulia hedaru ambako nilikuwa nikiishi na bibi yang kizaa baba,mzee mabinga wazazi wangu walifariki miaka kumi na nne iliyopita ka ajari ya gari enzi hizi walikuwa wakifanya kazi katika shirika la reli tanzania,mjini moshi.baada ya kifo cha wazazi wangu yaligeuka kuwa jiwe,ugumu huu ndio ulio mtoa bibi yangu machozi kila siku iitwayo leo.hakuwa na nguvu za kulima na kunilea kwasababu,tuliachwa watatu,mimi na wadogo zangu wawili wakiume na wakike. Enzi za utoto wangu,nilikuwa nina ndoto za kuwa tajiri wa dunia,na wengi walinishangaa kwa hali ya familia yetu na ndoto zangu zilikuwa ni vitu viwili tofauti,.ajabu mareemu babu yangu alinitabilia na kuniambia''michael,lazima utakuja kuwa tajri wa dunia''sikutaka kuipuuzia kauli iyo,niliieshimu na kuitunza katika kumbukumbu zangu kichwani. Kutokana na ugumu wa maisha niliamua kwenda mererani wakati huo ilikuwa ndani ya mkoa wa arusha,lakini kwa sasa ni mkoa wa manyara.niliweza kuanza maisha magumu na kujifunza roho ya ukatili.migodi hii ya block d,ilikuwa ni mirefu zaida ya opec,.nilivaa ujasiri na kukomaa,ilipo fika saa nane usiku tuliamlishwa tukapumzike,kutokana na zana za kufanyia kazi,hasa mafuta ya magnum pia kilicho isha kingine kilikuwa codex sisi wa mererani uziita koteksi.nilifa kazi hapo kwa bidii zote,na kuwatumia wadogo zangu pesa kwa ajili ya maitaji ya nyambani maoja shule.siku si nyingi mgodi wetu uliua watu waliofukiwa na mwamba,hapo mgodi wetu ukafungwa ndipo nilipo kwenda kutafyta kazi kwenye migodi mingine,..nilienda kuomba kazi kwenye mdodi mmoja wa wakabulu ,.tulichaguliwa watu kumi na wengine walikosa nafasi.nilianza kazi katika mgodi hou na nilikuwa tayali nimeisha kuwa mzoefu wa kuendesha mashine za kufanyia wakaburu hao walitokea kunipenda mpaka wenzangu wakawa wanadai natumia kizizi,mkaburu mmoja aitwae john ndie alie niunganisha free mason.nitaendelea na historia yangu namba zangu 0754 016795.

hii stori nimesha isikia radio 5 arusha naona umeona uilete huku jf dah kweli sanaa na wasanii.
 
saudari, hivi hauyajui ya mwaJ na Bujibuji,
mimi nilipewa onyo na mwaJ kuwa hataki kabisa kulisikia hilo jina
hapa Bujibuji anaomba nimbembelezee kwa mwaJ, lakini hiyo iko nje ya uwezo wangu,
na yote ya kuanzisha huu uzi anajifagilia ili mwaJ amrudie, lakini nasikia kuwa naniii yake hapandi mtungi,
(ni siri lakini).

Kumbe ndo maana mwaJ anakujakuja home?

Ila siku hizi na mimi nimekua mvumilivu, zamani ungekuta tayari.
 
Last edited by a moderator:
mtu atakaeweza kunisaidia kujiunga na freemason coz nimesikia wawaliopo huko wamefanikiwa msaada plz

alokwambia freemasons wanachukua maskini ni nani wanachukuwa watu ambao tayari wanamafanikio na hela ya kuingia huko si ya kitoto, na wakikutaka uingie utaingia tu ukikataa masharti yao wanafunga dili zako zote unaishia maskini.hata hao wakina kanumba mnawasingizia tu bado hawakuwa na hela ya kujiunga freemason pamoja na kuwa matajiri tz. Hawa ni wa jewish bana vichwa vinavyo run dunia esp USA.
so jipange kwanza
 
shansarie umenionea wapi Lady doctor?
 
Last edited by a moderator:
Dunia na vyote vilivyomo ni mali zangu....haya ni Maneno ya Mungu.
Mtegemee yeye utapata mali na kuwa na furaha maishani.
Kwanini utafute mali kwa shetani ambapo utapewa na masharti?
Angalia Ayubu,Sulemani walimtegemea Mungu wakapata mali nyingi.
 
Freemason member tumetoa miasaada mingi hapa kwetu tanzania kama ,montessor school(jijini mwanza) mnazi mmoja hospital (iliyopo zanzibar) missionaries of charity, shule ya walemavu(buguruni jijini dar es salaam,) ni katika miradi ya free mason tanzania. pia tumejenga madarasa ya shule ya msingi kinondoni (dar es salaam) na kutoa pauni za uingereza 15,000 mnamo mwaka 1996 katika ajari ya mv bukoba.
 
Back
Top Bottom