kwanza ulikua hujajiunga mpaka leo? sasa fanya hivi toka hapo unapoishi ucgeuke nyuma then kunja kulia nyosha moja. kwa moja zen utakutana na mtu kavaa nguo nyekundu usimsalimie then endelea kwenda mbele utafika sehemu utaona watu wawili wamevaa suti wapo na gari aina ya hummer ingia kwenye gari usiongee nao zen watakuleta mpaka makao mkuu hapa...... onyo ukiona mambo ya ajabu usishtuke

Young_Master bora ulivomuuliza manaHivi wewe ni mzima kweli? Mimi nina wasi wasi wewe una matatizo.
Young_Master bora ulivomuuliza mana
Young_Master yani sijui ni me au ke mana kama ni me namuonea huruma girlfriend wake mana kwa mtindo huu hawatanunua hata baiskelKwa kweli CUTE hata mimi namshangaa maana naona hii akili yake sio ya kawaida kabisa hata ni kutaka umaarufu na utajiri wa haraka haraka lakini sio kwa style hii.
mchakavumlasana naona ni huyu tu wengine wote wanayo sema kuna wale nao hawana wanaodai muungano uvunjike wakati wao ndio waliojaa huku bara na nyadhifa mbalimbali wameshikilia (hahhaa kidding)mitanzania mijinga kweli
tena amasalimie kwelikweliMsalimie kanumba!!!!!!!!
Young_Master yani sijui ni me au ke mana kama ni me namuonea huruma girlfriend wake mana kwa mtindo huu hawatanunua hata baiskel