Erp si software bali ni aina za software kirefu chake ni Enterprise resource planning.
Zipo za uhasibu, za kumanage bidhaa, za human resource etc. Kifupi yapo maelfu.
Na kikawaida open source (za bure) huwa ni ngumu sana kujifunza na za kulipia huwa ni rahisi.
Ungekuwa specific zaidi.