Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji.
Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo ndani ya fensi yenye parking.
Hodi Kibamba!
Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo ndani ya fensi yenye parking.
Hodi Kibamba!