Nataka kuhamia android world; ushauri tafadhali

Nataka kuhamia android world; ushauri tafadhali

bora ambaye hata wazo la kubadili simu limenijia kwa hiyo pesa kuliko uliyebakia kuwaza maendeleo kwa kujifungia ndani ya box la kubakia conservative, at least am thinking of moving forward.

Ungekuwa unajua kuwa Bill Gates ni conservative usingesema hivyo. Tatizo lenu vijana USHAMBA unawapelekesha ndio maana mnadhani kubadilisha matoleo ya simu ndio ujanja. Mnaishia kuwa consumers wa bidhaa za watu tu!
 
Nikiona kijana kutwa nzima anajadili simu, viatu na pamba huwa nasikitika sana!

ww gamba nape buku 7 ya leo akikupa sijui naona utelezi wajibu wako. ajira yako inaishia kule jukwaa la sihasa
 
Wewe ni BURE kabisa. Lazima ujifunze lengo kuu la kitu unachokikumbatia.

Apps nyingi zimetengenezwa ili kukufanya wewe uwe mteja wa biashara za watu. Kijana ambaye ulipaswa kufikiria jinsi ya kupata maendeleo unaishia kujadili aina ya simu unayotumia kila siku. The way hii dunia ilivyo complex nikiona kijana anahaika na fikra za aina ya simu wanazotumia watu waliomzunguka sisiti kumwambia kuwa ni BURE kabisa.
leo nimeelewa kwa nini serikali inawakataza watu msivuute bangi!!!
 
Mkuu,
Kuna mtindo mpya wa jeans madukani, ushanunua?
Halafu kuna viatu vikali, toleo jipya, ushanunua?
Na simu za android samsung galaxy, kali sana, ushanunua?

Hahahahahahahahahahahaa. Watu wanawaza simu, mavazi na ngoma halafu wanafikiri maendeleo yatawafuata kibarazani!!!

Wewe unazungumzia maendeleo yapi??
 
We hela yenyewe uliyo nayo laki 2 na nusu halafu unawaza kubadilisha simu tu!!!
"Technology does not replace people - it enables people; it only replaces people when they do not know how to wield it" ,,,lengo kuu la jukwaa la Science and Technology ni kuelimishana kuhusu mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia kwahiyo kama husaidiki katika jukwaa hili wapishe wenzio!! ,,No sustainable Development without Communication Technology,,,
 
Wewe ni BURE kabisa. Lazima ujifunze lengo kuu la kitu unachokikumbatia.

Apps nyingi zimetengenezwa ili kukufanya wewe uwe mteja wa biashara za watu. Kijana ambaye ulipaswa kufikiria jinsi ya kupata maendeleo unaishia kujadili aina ya simu unayotumia kila siku. The way hii dunia ilivyo complex nikiona kijana anahaika na fikra za aina ya simu wanazotumia watu waliomzunguka sisiti kumwambia kuwa ni BURE kabisa.
Sound like you are a very one-dimensional individual!wa zamani mno... almost Jurassic.....Dunia ya leo ni information-driven ndugu..sasa kama watu wanapata information ni simu ipi yenye app gani wanunue ili kupata na kurahisisha mawasiliano ww unawaona wajinga....wewe ndo mjinga zaidi kwa kujifanya unajua sana kila kitu!Hata tone unayotumia tu kukosoa wenzako inakufanya uonekane kama Chief Mangungo wa Musovero!
 
Ok pamoja na yote mliosema.kuuliza si ujinga hilo mlitambue.nina ila kuhusu android unweza akatafuta cm za android ikiwa utapata nexus one mpaka 10 au zilizo tengenezwa na geribean itakufaa maana os nimoja lakini watengenezaji wengi.
 
Mkuu hyo geribean ndo jellybean ama?
 
Mwalimu gani wa kiswahili anajiita ze marcopolo... bangi mbaya sn wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom