Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Ni muda nimekaa nikiangalia namna watu kam Chief Mkwawa, The Young Master na wengineo wakiichambua Android OS na sasa naona it is time to give it a shot, mpango wangu ni kuwa na Samsung Galaxy Chat, is good as other Sammy mobiles using OS au perfomance yake itakuwaje? maana nimecheki nayo GSM Arena nikaona kama ni nzuri ila naomba ushauri zaidi kwa wanajamii ili nisijejutia maamuzi.
Karibuni sana jamani, kwa wasiokuwa na mchango naomba wapite wima tu kama hawajaona.:tape:
Karibuni sana jamani, kwa wasiokuwa na mchango naomba wapite wima tu kama hawajaona.:tape: