tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
kwani umeambiwa hii ni jukwaa siasa ?
Hata kwetu wapo mkuuu usishangae waropokaji tu hao afu sijui dhima ya maendeleo yeye anaifafanua vp?
kwani umeambiwa hii ni jukwaa siasa ?
ndio hawa wanakuja kutuletea kero jamvini!!!!!hahahhahahaaa nimecheka sana. dunia ili izunguke lazima wavuta bangi wawepo, la sivyo itasimama.