Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Kwanza kabla ujakimbia inabidi tukusachi na utuambie umezipataje.
Chagua kati ya nchi hizi mi nakutafutia visa ya kudumu....Iraq, Syria, Somaly, Sudan (south &west), Palestina au Libya... Hizi nilizotaja zina utajiri mkubwa wa mafuta, unaishi km upo paradise
Chagua kati ya nchi hizi mi nakutafutia visa ya kudumu....Iraq, Syria, Somaly, Sudan (south &west), Palestina au Libya... Hizi nilizotaja zina utajiri mkubwa wa mafuta, unaishi km upo paradise
mkuu kwanini unataka kuhama nchi? Ok wa ushaur wangu nenda moja ya scandinavian countries,i.e denmark,sweden au norway,nasikia huko maji ya kunywa unapata kwenye mabomba hata kitaa yakiwa mazur kwa afya
MKUU APOLINARY:Nasema kwa mara ya Mwisho mi imetembea Sweden,holland,uswisi,china,sijaona sehemu kama Kericho muu,nakuru na Mombasa,NIMETUMIA MUDA WANGU MWINGI KUTAFAKARI HILI,HATA SHUKRAN HUNA?Siamini bt bdo namini hujachelewa kunipa...ungeniUliza kuna nini...aisee asikuambie mtu hayo maeneo shabab wapo NAROBI TUU Huko ulaya kuna VLADMIR PUTIN ANATAKAKUIPIGA ULAYA KISA KUINGILiA UKRAINE..,NI HOFU HUKO....NJOO KERICHO,NAKURU,hata US Haifikii...APOLINARY...Habari za Leo.
Nakuja hapa kwa heshima kubwa iliyo ndani ya Jukwaa hili.
Nataka kuhama Bongo/Tanzania Muda wowote ila sijaafiki Nchi nitakayoenda nitakapoondoka.
Hivyo naomba bila hiyana mniongoze katika hili
Je Ni Nchi gani Barani Africa hata Ulaya ,Amerika na Mashariki ya Kati naweza.kuwa Mhamiaji Bila Usumbufu?
Ushauri wako ni Muhimu Zaidi.
MKUU APOLINARY:Nasema kwa mara ya Mwisho mi imetembea Sweden,holland,uswisi,china,sijaona sehemu kama Kericho muu,nakuru na Mombasa,NIMETUMIA MUDA WANGU MWINGI KUTAFAKARI HILI,HATA SHUKRAN HUNA?Siamini bt bdo namini hujachelewa kunipa...ungeniUliza kuna nini...aisee asikuambie mtu hayo maeneo shabab wapo NAROBI TUU Huko ulaya kuna VLADMIR PUTIN ANATAKAKUIPIGA ULAYA KISA KUINGILiA UKRAINE..,NI HOFU HUKO....NJOO KERICHO,NAKURU,hata US Haifikii...APOLINARY...
Mkuu usisahakumwambia Apolinary kuhusu Kericho na nakuru bila kusaha Mombasa.....Nashukuru wewe umelijuahili mapematuambie basi kuna nini huko? ulaya na marekani hizo zilikua zamani wajanja tunalijua hilo...nje ya afrika labda nitupwe brasil au south korea..
Mamndenyi nimekumiss jamani....Nihame hii nchi ya maziwa na asali niende wapi?
Nikubadili mkoa tu.
Asiyejua aendako hawezi potea njia. Salamu zao.
Nenda Brazil
Asiyejua aendako hawezi potea njia. Salamu zao.
Kwanza kabla ujakimbia inabidi tukusachi na utuambie umezipataje.
habari za leo.
Nakuja hapa kwa heshima kubwa iliyo ndani ya jukwaa hili.
Nataka kuhama bongo/tanzania muda wowote ila sijaafiki nchi nitakayoenda nitakapoondoka.
Hivyo naomba bila hiyana mniongoze katika hili
je ni nchi gani barani africa hata ulaya ,amerika na mashariki ya kati naweza.kuwa mhamiaji bila usumbufu?
Ushauri wako ni muhimu zaidi.
kama una pesa na sio kidogo iweke kwenye biashara hapo ulipo uendelee na maisha,next question?