Nataka kuhama Bongo

Nataka kuhama Bongo

Ninaomba njia ulizotumia ukafika juu haraka (kwa mda mfupi) coz mimi pia nahitaji mafanikio haya

Ndio pesa ninayo wala si Kidogo

https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/531938-nijiingize-shambani-au-nifuge-kuku-wa-kienyeji-kwa-mtaji-wa-laki-mbili.html

Habari za Leo.

Nakuja hapa kwa heshima kubwa iliyo ndani ya Jukwaa hili.
Nataka kuhama Bongo/Tanzania Muda wowote ila sijaafiki Nchi nitakayoenda nitakapoondoka.

Hivyo naomba bila hiyana mniongoze katika hili

Je Ni Nchi gani Barani Africa hata Ulaya ,Amerika na Mashariki ya Kati naweza.kuwa Mhamiaji Bila Usumbufu?

Ushauri wako ni Muhimu Zaidi.
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/689642-ujenzi-wa-ghorofa-tatu.html
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/683137-kazi-ya-kuajiriwa.html
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/675108-natafuta-mbuzi-4-wa-maziwa-niko-tengeru-arusha.html
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/284893-nina-milioni-20-je-nifanye-nayo-biashara-gani.html
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/585669-nataka-kununua-gari-sasa.html
 
Yaani unashangaa mtzania wa kawaida kuhama nchi ?Kweli bado tz iko nyuma
Haya bhana Liberia nigeria cameroni hizi ndio poa kwa sasa,au piga somalia sudani kusini kote barida tu!
 
Habari za Leo.

Nakuja hapa kwa heshima kubwa iliyo ndani ya Jukwaa hili.
Nataka kuhama Bongo/Tanzania Muda wowote ila sijaafiki Nchi nitakayoenda nitakapoondoka.

Hivyo naomba bila hiyana mniongoze katika hili

Je Ni Nchi gani Barani Africa hata Ulaya ,Amerika na Mashariki ya Kati naweza.kuwa Mhamiaji Bila Usumbufu?

Ushauri wako ni Muhimu Zaidi.
Mpendwa Apo,
Kwa heshima nawe nakutakia heri, Chukuwa ushauri huu bure tu !! Nakupa nasiha, Nakusihi huko nje siyo kama unavyofikiia!!
Kama utaweza kuniPm, ntakupa siri ya kujikimu hapa hapa nyumbani. ila ukiwa na vigezo vya kwenda nje tawakali mustakabali upo kote.
 
Njoo hapa Bankok Thailand..fursa kibao, heshima rundo.kupata visa nenda Nairobi.kuna wa Nigeria na wa west kwa ujumla wengi sana hapa.maisha ni rahisi ambavyo huwezi kufikiria.usafiri, appartments, vyakula,biashara ni nyingi na hazina mikwara kama kwetu.wamachinga wamepewa nafasi kila kona..street hawkers na mama ntilie wa kutoka sehemu mbalimbali nje na thai wanashirikiana na wenyeji kufanya biashara.wenyeji wanaheshimu wageni ni balaa.ukishuka airport yao ya "subhanabhumi"utakaribishwa na bango kubwa"THE OPPORTUNITY HAVE LANDED WELCOME TO BANKOK"yaani wewe ni fursa umetua kwa hiyo unatakiwa kutumika.
Pia vijana wenzangu wenye kuwaza kufanya biashara za madini Bankok is the best place you can meet with international gemstones buyers
Njoo aise usiogope.mfano waweza pata appartment ye ye room 1 sebule, kitchen na toilet kwa 2500bhats.sawa na dola 80.bill za maji na umeme ni vichekesho.ni bhat 100 flat rate.gesi huku ndio kwao imeleta mapinduzi makubwa sana ya uchumi.watanzania tujiandaeni na ujio wa matumizi ya gesi yetu.tusiwaachie wahindi na wengine kutoka asia wa dominate sekta hii nikimaanisha biashara na fursa zinazotokana na gesi, biashara, gas stations zote ziwe za wazawa.katiba yetu itamke wazi mambo kama haya.ng'wabeja sana.


Asante mkuu

Karibuni Kibera hapa fursa ni za kumwaga
 
Asante mkuu

Karibuni Kibera hapa fursa ni za kumwaga

ok sawa mkuu,hapo nikon camera d 40, d 3000 series au cannone 1000 series mpya au used zinakwenda bei gani kwa dola au bhats? Na ni mitaa ipi zinapatikana sana hapo bangkok?
 
Chagua kati ya nchi hizi mi nakutafutia visa ya kudumu....Iraq, Syria, Somaly, Sudan (south &west), Palestina au Libya... Hizi nilizotaja zina utajiri mkubwa wa mafuta, unaishi km upo paradise
Umesahau na South, Sudan,Kongo,Liberia,Ukraine,Cameroon,Chad,Mexicao,CAR,South Thailand,Colombian,Northeast India,Northern Mali,West Papua,Peru,
 
Back
Top Bottom