Nataka kugombea u-miss

Nataka kugombea u-miss

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Nifuate taratbu gani ili nikubaliwe? Lazma uwe umefikisha miaka 18? Nifanyeje ili nikubaliwe.

Msaada.
 
subiria2016 mwaka huu hakuna, na kwa kipindi hichi wasubiria nashauri nenda kajifunze kuandika na kusoma. Goodluck!
 
Nitumie ujumbe,Kama una vigezo nikufanyie mpango kwenye kampuni kubwa za u model,achana na kina lundenga wananukaa rushwa
 
Ushampwa mwalimu wa kemia haki yake?
 
Vigezo vya kuwa miss ni rahisi mno,iwapo tu majaji,Rundenga na mdhamini utakubali wasaule nguo zako
 
Back
Top Bottom