masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,271
- Thread starter
- #41
uthithubutu kuweka picha au kupm stranger picha yako utajuta jaribu kuuuliza hapo unapoushi kama kuna kitongoji chochote au huwa wanatangazaga muda muafaka ukifika
asante mamii
nimeshapata mtu kanidirect vizuri sana na maelezo ya kutosha so natarajia kuanza mchakato
ILA HUNIPENDI HUTAKI KUNICHEK WASAP