dah kuweka picha hapa naona mtihani kidogo ila kama sitapata maoni mazuri pm
NITAWEKA
Tunaweza kupata kapicha kako hapa? Lundenga yupo humu humu jf au hujui ID yake?
we utakuwa na hamu na Lunde... tu!
hawana email ama means yoyote ya kujua walipo especially kwa kitongoji nilichopoKama ni kitu unachohitaji kukifanya fanya maamuzi chagua kitongoji cha karibu unachotaka kushiriki fatilia kwa ukaribu muda wa kuchukua fomu wataweka matangazo, utaenda kuchukua fomu hapo safari yako ndio itakuwa imeanza
hapo ulipoandika kwa herufi kubwa naomba patimizwe
Baba nimekuona tena
mpaka nikose wa kuni direct vizuri katika pm
hawana email ama means yoyote ya kujua walipo especially kwa kitongoji nilichopo
Twende inbox kwanza
Siwezi kujua kitongoji ulichopo my dear ila ni wewe mwenyewe kutafuta na kujua kama kitongoji chako wanafanya mashindano ama la. Kama hawafanyi tafuta kitongoji wanachofanya hayo mashindano ukifatilia kwa ukaribu utajua siku ya kutoa fomu na kila kitu. Ukishachukua fomu safari ya ndoto yako ndio itakua imeanza
ushatolewa seal?...jibu swali hili kwanza....pamoja na sifa zote hizo, una mume?
Ka huna na ushatolewa seal, basi hizo sifa huna pia.
Ni pm nikuunganishe na wataalamu wa mambo hayo.
ushatolewa seal?...jibu swali hili kwanza....
Bikra Maria,yaani ile hazina bado ipo?...seal ndo nini
Kama umri unaruhusu shiriki tu bidada all the best..
dah kuweka picha hapa naona mtihani kidogo ila kama sitapata maoni mazuri pm
NITAWEKA