Nataka kufahamu kuhusu jini maiti

Wakuu hivi huyu jini maiti kazi yake nini hasa?

Maana ninavyojua maiti hawezi kufanya kitu chochote sasa mtu akipandisha jini maiti inakuaje kuaje sasa?

Je jini maiti anatokea upande upi?

Je anauhusiana na jini Makata wa makatani, Subiani , Jini Simba ?Masai ?

Jamii ya Mswezi au anatokea wapi kwa mfano?
et jamaa wamekutukana
 
Mambo hayo ni ya kisilamu ambayo majin had msikitin wanasali nayo wakiamin ni maisilamu wenzao
Usiongee usilolijua...na nyie kanisani yanayowaangusha ni nn yale?!!! Au kawaulize mapadri wenu mafuta ya dawa wanapewa na nani?!!... Majini hayaingii msikitini mule kuna Quran inasomwa hawapatani nayo..ila kanisani mnayo ..majini na Quran ni maji na mafuta..tunasoma Quran tu kuyaondoa..wakati nyie mnaongea lugha za kuzimu kuyaondoa..nyie na sisi nani anayafuga?!!...hovyoo mxieww
 
Aisee utakuwa wewe huujui uisilamu

Unajua kwanini wanawake hawaruhusiwi kwenda msikitini wakiwa hedh au period?

Je unajua kuwa majin yanasilimu na ni maisilamu menzenu?

Je unajua kuwa kuwa unapoungia msikitini ni lazima upulizwe katika kundu? Na majin

Je unajua kuwa majin yanamtii allah na yanasijilizaga quran kama kawaida?

Je unajua ni kwanini majin yote yana majina ya kiisilamu na yote husema yametoka makha?

Je unajua ni kwanini huwa mnaenda makha kumuponda mawe shetan?

Je unaweza kunipa utofauti kati ya mungu wako allah aliyekuandalia bikira 72 na ibilisi?
 
Hahaaaa mkuu umemuweza akijibu niite
 
Aiseee umemezeshwa uongo usiokua na dalili,,kwanza mwanamke wa kiislam kwenda msikitini sio lazma,na kbla sijakujibu kwa nn hatuingii masjd tukiwa period ujiulize kwa nn kumuingilia mtu akiwa periods sio vzuri..period ni uchafuuuu!!! Ndo maana mpka tutwahaharike ndo twende msikitini,..pia Mungu aliumba wanadam na majini ili wamuabudu..na makazi yao ni kwenye maji..ndio wanasoma Quran na wanatakiwa wasali vipindi vitano kama wanadaam..naona natoa povu kwa mtu ambae yupo kwa ajili ya kubisha..ila jmn mnalishwa uongo kuhusu uislam jmn..Mungu anawaona
 
ukiwa na jini maiti mambo yako yote yanakua mafu kuanzia mambo yako ya rohoni na mwilini.nafsi,Roho na mwili unakua mfu ingawa unatembea.biashara zinakua zimekufa,ndoa na mahusiano yanakua ni maiti tupu.solution ni moja mpaka ukutane na mwenye uzima wa milele Yesu Kristo nayeye atakupa uzima wa milele.
 
Aiseee umemezeshwa uongo usiokua na dalili,,kwanza mwanamke wa kiislam kwenda msikitini sio lazma,na kbla sijakujibu kwa nn hatuingii masjd tukiwa period ujiulize kwa nn kumuingilia mtu akiwa periods sio vzuri..period ni uchafuuuu!!! Ndo maana mpka tutwahaharike ndo twende msikitini,..pia Mungu aliumba wanadam na majini ili wamuabudu..na makazi yao ni kwenye maji..ndio wanasoma Quran na wanatakiwa wasali vipindi vitano kama wanadaam..naona natoa povu kwa mtu ambae yupo kwa ajili ya kubisha..ila jmn mnalishwa uongo kuhusu uislam jmn..Mungu anawaona
ngoja nikupe jibu acha kuluka luka mwanamuke wa kiisilam hawez kwenda msikitin akiwa hedh kwa sababu mule kuna majin na chakula cha majin ni damu kwahiyo yatamufanya mbaya endapo ataenda akiwa hedh
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Back
Top Bottom