Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,103
- 26,153
Wakuu hivi huyu jini maiti kazi yake nini hasa?
Maana ninavyojua maiti hawezi kufanya kitu chochote sasa mtu akipandisha jini maiti inakuaje kuaje sasa?
Je jini maiti anatokea upande upi?
Je anauhusiana na jini Makata wa makatani, Subiani , Jini Simba ?Masai ?
Jamii ya Mswezi au anatokea wapi kwa mfano?