Kama unaishi kwenye nchi ya viwonder kwanza anzia pale TCRA uwakabidhi 1mil yao kabla hujaanza chochote.Habarini JF,
Nataka kuanzisha YouTube channel yangu itakayokua inadili na mambo ya Teknolojia .
Nataka niwe nachambaua Teknolojia kama Marquis Brownie au Mr.Who the Boss anavofanya .
Mtu yoyote mwenye mawazo ya wapi pa kuanzia ? Karibu
coment no 1Kama unaishi kwenye nchi ya viwonder kwanza anzia pale TCRA uwakabidhi 1mil yao kabla hujaanza chochote.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app