Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,257
Heri ya siku ya Christimas na Mwaka mpya wana JF natumai ni wazima na tunaendele kusheherekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka
Nirudi kwenye mada
Mimi ni kujana nina Miaka 25 kwa mda kama wa miaka 2 nyuma nilikuwa na wazo la kuanzisha NGO inayo jiusisha na mambo ya Afya nita base kwenye ugonjwa mmoja (Ningependa kutokuuweka wazi uwo ugonjwa nitakao deal nao wakuu maana nishawahi leta wazo la jambo umu na baada ya mda nikakuta utu kalichukua vilevile) pia mimi ni muhanga wa uwo ugonjwa na nimepambana nao kwa miaka yote 25 ila haukua kikwazo kwa kufanikisha malengo yangu na vitu ninavyo fanya
Aina ya NGO ninayotaka kuanzisha nimejaribu kufwatilia naona kwa Tanzania zipo kama tatu ambazo zilikuwa strong ila kwa sasa kama zimeyumba kidogo
Nia yangu ya kuanzisha hii NGO ni kwwsababu nataka kutoa elimu juu ya huu ugonjwa ambao auwekew mkazo katika jamii lalini upo na unatesa na ni kwasababu n ugonjwa usio tibika basi wahanga wajue namna ya kuishi nao
Nilikuwa naomba ndugu zangu wajuzi wa mambo ya NGO mnipe Elimu jinsi ya kuendesha aya Mashirika na changamoto zake
Sina kiasi kikubwa cha pesa kuanzisha lakin nina watu ambao wameamua kunisaport kwa njia ndogo ambazo nitashindwa kifedha kwasababu wanaamin kwenye ninacho kifanya
Sasaivi nimemaliza kuandika KATIBA nataka kuisajiri , Mategemeo yangu n mpaka mwakan niwe na NGO yan ishaanza kufanya kazi ndogo ndogo
Wana JF wenzangu nilikuwa naomba mwenye ushauri, maoni, mtazamo namna ya kuendesha NGO naamin kwenye kujifunza sana na kila siku ili uweze kufanya kitu bora zaidi
ASANTENI