Nataka kuanzisha YouTube Channel

maarlioo

New Member
Nov 28, 2019
0
49
Habarini JF,
Nataka kuanzisha YouTube channel yangu itakayokua inadili na mambo ya Teknolojia .
Nataka niwe nachambaua Teknolojia kama Marquis Brownie au Mr.Who the Boss anavofanya .
Mtu yoyote mwenye mawazo ya wapi pa kuanzia ? Karibu
 
Kama unaishi kwenye nchi ya viwonder kwanza anzia pale TCRA uwakabidhi 1mil yao kabla hujaanza chochote.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom