Nataka kuanzisha Msikiti binafsi

Nataka kuanzisha Msikiti binafsi

Kama ilivyo kwa makanisa binafsi. Kina kakobe, Mwingira, Gwajima na Lusekelo. Haya makanisa ni Mali yao binafsi.

Ni utaratibu gani naweza kufuata nikaanzisha Msikiti binafsi?
Bhange mbaya sana, hasa ikivutwa mchana wa jua kali!!
Hukupelekea kufikiri hata visivyofikirika!!
 
Barabara kabisa Mipangomingi na Saju b.Misikiti yote ni ya Mwenyezi Mungu.Yeyote anayejenga msikiti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu,huyu amewekeza sadaka yenye ujira usiokoma.
 
Barabara kabisa Mipangomingi na Saju b.Misikiti yote ni ya Mwenyezi Mungu.Yeyote anayejenga msikiti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu,huyu amewekeza sadaka yenye ujira usiokoma.

Hiyo aya imekataza Mungu kuabudiwa...! au aliyeitafsiri hajui vizuri Lugha ya Allah kiarabu
 
Back
Top Bottom