FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Last edited by a moderator:
Atapataje jini la kuliweka msikitini? Maana kila Msikiti unalo jini
Sister Faustina's blasphemous Image of Divine Mercy. Notice the occult New Age pyramid.kama ilivyo kwa makanisa binafsi. Kina kakobe, mwingira, gwajima na lusekelo. Haya makanisa ni mali yao binafsi.
Ni utaratibu gani naweza kufuata nikaanzisha msikiti binafsi?
Madhehebu yapo kwa mfano kuna.
Suni
Shia
Ismailia
Bohora
Konki
Ahamadiya
acha kujifanya unaujua uislamu ilhali hujui chochote ktk dini tukufu ya kiislam.
ktk uislam madhehebu yapo manne tu nayo ni madhehebu ya imamu SHAFII allah amrehemu .imamu MALIKI allah amrehemu, imamu HANAFI allah amrehemu na imamu HAMBALI allah amrehemu then tunakujulisha rasmi kama ulikuwa hujui ktk uislamu iko hivii-waislam wote kuanzia sisi mpk hao maimamu wanne wote tunarejea ktk quran na mafundisho sahihi ya mtume swala llahu alaihi wasalam hivyo basi qauli za hao mimamu wanne zikienda kinyume na quran au mafundisho ya mtume hatuzibebi ..nadhani umenielewa then acha kujifanya unaujua uislamu ilhali hufaham hata theluthi ya uislam

Kama ilivyo kwa makanisa binafsi. Kina kakobe, Mwingira, Gwajima na Lusekelo. Haya makanisa ni Mali yao binafsi.
Ni utaratibu gani naweza kufuata nikaanzisha Msikiti binafsi?
Sasa ndugu yangu, kuna wenzako wamesema katika Uislam kuna madhehebu mawili tu nayo ni Shia na Sunni, kulikoni wewe umesema manne tena?
Sasa ndugu yangu, kuna wenzako wamesema katika Uislam kuna madhehebu mawili tu nayo ni Shia na Sunni, kulikoni wewe umesema manne tena?
acha kujifanya unaujua uislamu ilhali hujui chochote ktk dini tukufu ya kiislam.
ktk uislam madhehebu yapo manne tu nayo ni madhehebu ya imamu SHAFII allah amrehemu .imamu MALIKI allah amrehemu, imamu HANAFI allah amrehemu na imamu HAMBALI allah amrehemu then tunakujulisha rasmi kama ulikuwa hujui ktk uislamu iko hivii-waislam wote kuanzia sisi mpk hao maimamu wanne wote tunarejea ktk quran na mafundisho sahihi ya mtume swala llahu alaihi wasalam hivyo basi qauli za hao mimamu wanne zikienda kinyume na quran au mafundisho ya mtume hatuzibebi ..nadhani umenielewa then acha kujifanya unaujua uislamu ilhali hufaham hata theluthi ya uislam
Swadakta! Sheikh wangu mtu kama hajui aulize!acha kujifanya unaujua uislamu ilhali hujui chochote ktk dini tukufu ya kiislam.
ktk uislam madhehebu yapo manne tu nayo ni madhehebu ya imamu SHAFII allah amrehemu .imamu MALIKI allah amrehemu, imamu HANAFI allah amrehemu na imamu HAMBALI allah amrehemu then tunakujulisha rasmi kama ulikuwa hujui ktk uislamu iko hivii-waislam wote kuanzia sisi mpk hao maimamu wanne wote tunarejea ktk quran na mafundisho sahihi ya mtume swala llahu alaihi wasalam hivyo basi qauli za hao mimamu wanne zikienda kinyume na quran au mafundisho ya mtume hatuzibebi ..nadhani umenielewa then acha kujifanya unaujua uislamu ilhali hufaham hata theluthi ya uislam
Mbona ipo kibao, huoni inaitwa kwa majina kama msikiti wa mbonde, msikiti wa ramiah etc, sema waislam sio watoaji saana mpaka watishiwe na hadith za mtume ndio hutoa