Zaburi 23
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 570
- 663
Habari za humu jukwaani.
Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja sehemu moja.
Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidogo tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingine nimempata ni single mother na ananihakikishia kabisa kuwa yupo tayari kuishi na mimi na kujenga familia yenye upendo na amani.
Sasa nawaza huyu nnaeish nae nimbwage kwa dizain ipi na nipo tayar kama kumwachia chumba nikapange sehemu nyingine ili niishi na huyu anaeeleweka na asienipa mipaka katika kunipa nyama coz huyu nnaeish nae kama ana mipaka coz kanifanya hadi nimekua mtu wa madem ikiwa mwanzo tulivyoanza mahusiano wala sikua mtu wa wanawake.
Sometimes ilikua akinuna hata wiki inaweza pita ujapewa nyama muda mwingine wiki mbili kimyaa sasa na mie ni mwanaume na rijali kila siku lazima Nisimamishe so uzalendo ulishinda kila siku uwe mtu wa kubembeleza ndio upewe sometimes hata ukibembeleza unanyimwa pia.
Nipeni mawazo nitumie mbinu ipi ili nimbwage huyu niishi na huyu nnaemulewa na anaenielewa naona kama huyu nnaeishi nae namlzamisha tu ....
Shukran...