Nataka kuachana na mwanamke ninaeishi nae

Si uliambiwa usioe ukajiona mjanja ukaoa.
Daah unayoyapitia kama mimi,ila mimi nimezaa naye watoto wawili,wa kwangu aniheshimu kabisa,yani unyumba inapita hata mwezi 4 sipatiwi,ana kiburi sana,ana madharau akihamka asubuhi hata bila salamu utasikia nipe ela ya taka na ulizi,mara nimekopa kwa muha mara hivi mara vile,huamuzi niliyoamua namuachia kila kitu ndani,na mpa na ela ya mtaji ili familia isipate tabu,mimi sitaki cha mwanamke mwingine sasa,nitapanga chumba changu mbali na hapo ila nitakuwa natuma ela ya matumizi tu,maana yeye kila siku utasikia nataka niishi mwenyewe na watoto wangu,dada yake na ndugu zake wanampa kiburi,mwanamke asiyemsikiliza mwanaume ndani yafaa nini kuishi nae??namuachia kila kitu siondoki na chochote ila atakuja kunikumbuka sijawahi mpiga,chakula anakula na akipata shida yeyote na msaidia.
Sitaki tufikie pabaya ni bora kila mtu akaishi kivyake sijazaliwa nae,mawazo yamenikondesha sana alafu nina vidonda vya tumbo sina raha wala amani
 
Wanawake hawajakamilika mzee kila mmoja anamapungufu ,na ujue mwanamke anaye ishi kwao ni tofauti kabisa na yule yule utakaye mtoa kwao ukamleta kwako, tuna tarajia baada ya miaka miwili kuisha utatuletea tena story ya huyo single mother ambaye kwa uhitaji wa kuolewa atakuahidi mema mengi sana.
Huyu nlonae dah! Shida sana. Shida zake zoote unamtimizia ila kitu kidog tuu mnuno wiki na kitu kinachomfanya anune sasa dah! Istoshe sometimes yeye ndo anafanya mistake af mie ndo naomba samahan ili yaishe.ujue mtu ukiamua kuish na mtu unaachana na mambo mengne yoote kama sio kupunguza ila kwangu mimi niloachana na mambo kwa mda tuu baadae nyama nikawa spewi ukiangalia mie ni kijana, dam inachemka so michepuko ikaendelea kuwepo so nashindwa kufanya malengo yangu mengne coz mambo yangu meng akija kujua itabidi tugawe sawa kwa sawa sasa kwa mie naona njia rahis ni kumbwaga ili nisije jutia. Baadae
 
Daah unayoyapitia kama mimi,ila mimi nimezaa naye watoto wawili,wa kwangu aniheshimu kabisa,yani unyumba inapita hata mwezi 4 sipatiwi,ana kiburi sana,ana madharau akihamka asubuhi hata bila salamu utasikia nipe ela ya taka na ulizi,mara nimekopa kwa muha mara hivi mara vile,huamuzi niliyoamua namuachia kila kitu ndani,na mpa na ela ya mtaji ili familia isipate tabu,mimi sitaki cha mwanamke mwingine sasa,nitapanga chumba changu mbali na hapo ila nitakuwa natuma ela ya matumizi tu,maana yeye kila siku utasikia nataka niishi mwenyewe na watoto wangu,dada yake na ndugu zake wanampa kiburi,mwanamke asiyemsikiliza mwanaume ndani yafaa nini kuishi nae??namuachia kila kitu siondoki na chochote ila atakuja kunikumbuka sijawahi mpiga,chakula anakula na akipata shida yeyote na msaidia.
Sitaki tufikie pabaya ni bora kila mtu akaishi kivyake sijazaliwa nae,mawazo yamenikondesha sana alafu nina vidonda vya tumbo sina raha wala amani
We mwanamme wa ukweli?
 
Jifunze kuchakata mbususu vizuri uone kama atakunyima tena,tatzo unapiga piga hovyo bila mipangilio hicho kinapelekea yeye kuwa na hasira hata ukifanya kosa dogo tu ana panic sana
Kuichakata tuuu [emoji12]
 
Habari za humu jukwaani.. Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja seem moja, Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidog tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingne nimempata ni single mother na ananihakikishia kabisa kuwa yupo tayar kuish na mimi na kujenga familia yenye upendo na amani. Sasa nawaza huyu nnaeish nae nimbwage kwa dizain ipi na nipo tayar kama kumwachia chumba nikapange seem nyingne ili niishi na huyu anaeeleweka na asienipa mipaka katika kunipa nyama coz huyu nnaeish nae kama ana mipaka coz kanifanya ad nimekua mtu wa madem ikiwa mwanzo tulivyoanza mahusiano wala skua mtu wa wanawake. Sometimes ilikua akinuna hata wiki inaweza pita ujapewa nyama mda mwingne wiki mbili kimyaa sasa na mie ni mwanaume na rijali kila sku lazma Nismamishe so uzalendo ulishinda kila sku uwe mtu wa kubembeleza ndo upewe sometimes hata ukibembeleza unanyimwa pia. Nipeni mawazo nitumie mbinu ipi ili nimbwage huyu niishi na huyu nnaemulewa na anaenielewa naona kama huyu nnaeish nae namlzamisha tuu .... Shukran...
Kwa nini unajiingiza kwenye ndoa wakati wewe bado ni mtoto mdogo?
 
Daah unayoyapitia kama mimi,ila mimi nimezaa naye watoto wawili,wa kwangu aniheshimu kabisa,yani unyumba inapita hata mwezi 4 sipatiwi,ana kiburi sana,ana madharau akihamka asubuhi hata bila salamu utasikia nipe ela ya taka na ulizi,mara nimekopa kwa muha mara hivi mara vile,huamuzi niliyoamua namuachia kila kitu ndani,na mpa na ela ya mtaji ili familia isipate tabu,mimi sitaki cha mwanamke mwingine sasa,nitapanga chumba changu mbali na hapo ila nitakuwa natuma ela ya matumizi tu,maana yeye kila siku utasikia nataka niishi mwenyewe na watoto wangu,dada yake na ndugu zake wanampa kiburi,mwanamke asiyemsikiliza mwanaume ndani yafaa nini kuishi nae??namuachia kila kitu siondoki na chochote ila atakuja kunikumbuka sijawahi mpiga,chakula anakula na akipata shida yeyote na msaidia.
Sitaki tufikie pabaya ni bora kila mtu akaishi kivyake sijazaliwa nae,mawazo yamenikondesha sana alafu nina vidonda vya tumbo sina raha wala amani
We tafuta damu ule maisha mwanaume unatakiwa uwe na wanawake zaidi ya mmoja ndiyo maana wazee wetu walikuwa wanao wake zaidi ya mmoja.
 
Nakuwekea kama ilivyonenwa kwenye maandiko.....

images - 2022-10-07T204737.471.jpeg
 
Habari za humu jukwaani.. Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja seem moja, Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidog tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingne nimempata ni single mother na ananihakikishia kabisa kuwa yupo tayar kuish na mimi na kujenga familia yenye upendo na amani. Sasa nawaza huyu nnaeish nae nimbwage kwa dizain ipi na nipo tayar kama kumwachia chumba nikapange seem nyingne ili niishi na huyu anaeeleweka na asienipa mipaka katika kunipa nyama coz huyu nnaeish nae kama ana mipaka coz kanifanya ad nimekua mtu wa madem ikiwa mwanzo tulivyoanza mahusiano wala skua mtu wa wanawake. Sometimes ilikua akinuna hata wiki inaweza pita ujapewa nyama mda mwingne wiki mbili kimyaa sasa na mie ni mwanaume na rijali kila sku lazma Nismamishe so uzalendo ulishinda kila sku uwe mtu wa kubembeleza ndo upewe sometimes hata ukibembeleza unanyimwa pia. Nipeni mawazo nitumie mbinu ipi ili nimbwage huyu niishi na huyu nnaemulewa na anaenielewa naona kama huyu nnaeish nae namlzamisha tuu .... Shukran...
sikutishi ila huyo single maza sio mkuu ila km unamtak aya lkn akikisha baba wa huyo mtoto wa single mother akikisha kafa na unaoneshwa kabur lake... na ikiwezekan fkua tazam mifupa yke ipo
 
Daah unayoyapitia kama mimi,ila mimi nimezaa naye watoto wawili,wa kwangu aniheshimu kabisa,yani unyumba inapita hata mwezi 4 sipatiwi,ana kiburi sana,ana madharau akihamka asubuhi hata bila salamu utasikia nipe ela ya taka na ulizi,mara nimekopa kwa muha mara hivi mara vile,huamuzi niliyoamua namuachia kila kitu ndani,na mpa na ela ya mtaji ili familia isipate tabu,mimi sitaki cha mwanamke mwingine sasa,nitapanga chumba changu mbali na hapo ila nitakuwa natuma ela ya matumizi tu,maana yeye kila siku utasikia nataka niishi mwenyewe na watoto wangu,dada yake na ndugu zake wanampa kiburi,mwanamke asiyemsikiliza mwanaume ndani yafaa nini kuishi nae??namuachia kila kitu siondoki na chochote ila atakuja kunikumbuka sijawahi mpiga,chakula anakula na akipata shida yeyote na msaidia.
Sitaki tufikie pabaya ni bora kila mtu akaishi kivyake sijazaliwa nae,mawazo yamenikondesha sana alafu nina vidonda vya tumbo sina raha wala amani
Achana naye
 
Baadhi ya Wanawake wamewazidi akili wanaume wewe baada ya kumpa story zote huyo single maza kaamua kuweka makucha yake chini na unamuona huyo unaekaa nae hauitaji hata suruhu ila baadae utamkubuka huyo unaetaka kumuachia chumba utatamani urudi nae ataweka ngumu uzuri tukijaaliwa utakuja humu kuomba gia ya kurudi home...wanawake hawajatofautiana sana rangi zao ni zile zile tuu...
 
Back
Top Bottom