Nataka kuachana na mwanamke ninaeishi nae

Nataka kuachana na mwanamke ninaeishi nae

Niachie hilo geto lako basi pamoja na huyo mchumba wako ili niendelee pale ulipoishia wewe. Kuhusu kubembeleza, mimi ndiyo mwenyewe sasa! Yaani kununa tena kwake itabakia kuwa ni historia.
 
We tafuta damu ule maisha mwanaume unatakiwa uwe na wanawake zaidi ya mmoja ndiyo maana wazee wetu walikuwa wanao wake zaidi ya mmoja.
Kweli mkuu ndo maana sikutaka kuoa naishi na mwanamke akizingua Pita hivi
 
Daah unayoyapitia kama mimi,ila mimi nimezaa naye watoto wawili,wa kwangu aniheshimu kabisa,yani unyumba inapita hata mwezi 4 sipatiwi,ana kiburi sana,ana madharau akihamka asubuhi hata bila salamu utasikia nipe ela ya taka na ulizi,mara nimekopa kwa muha mara hivi mara vile,huamuzi niliyoamua namuachia kila kitu ndani,na mpa na ela ya mtaji ili familia isipate tabu,mimi sitaki cha mwanamke mwingine sasa,nitapanga chumba changu mbali na hapo ila nitakuwa natuma ela ya matumizi tu,maana yeye kila siku utasikia nataka niishi mwenyewe na watoto wangu,dada yake na ndugu zake wanampa kiburi,mwanamke asiyemsikiliza mwanaume ndani yafaa nini kuishi nae??namuachia kila kitu siondoki na chochote ila atakuja kunikumbuka sijawahi mpiga,chakula anakula na akipata shida yeyote na msaidia.
Sitaki tufikie pabaya ni bora kila mtu akaishi kivyake sijazaliwa nae,mawazo yamenikondesha sana alafu nina vidonda vya tumbo sina raha wala amani
Aisee unawezaje kuishi na mwanamke wa hivyo?
 
Wewe hujawahi kutana ni visanga
Siku zote tunatakiwa kuishi na wanawake kwa akili. Ukiona hamuwezi kuishi pamoja, kubali yaishe! Tafuta mtu ambaye utaendana naye.
Ila wakati huo huo na wewe unatakiwa kujipima! Una madhaifu gani? Wapi unamuangusha mwenzi wako?

Kama una tabia ya uchafu, badilika! Kama una ubahili wa kijinga, badilika! Kama una uchoyo na ubinafsi usio na kichwa wala miguu, badilika! Kama una ubabe wa kipuuzi, badilika! Kama una dharau, kiburi, utoto, masihara, na kutojitambua, badilika!

Kinyume na hapo, basi utagombana na kila mwanamke.
 
Anae nuna anaweza kuwa mchoyo Kwa kila mtu...anakununia wewe na wanaomsemesha ...

Halafu anaekupa bila mipaka akawa anampa kila mtu pia bila mipaka...

Kazi kwako
[emoji419][emoji419]
 
Habari za humu jukwaani.. Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja seem moja, Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidog tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingne nimempata ni single mother na ananihakikishia kabisa kuwa yupo tayar kuish na mimi na kujenga familia yenye upendo na amani. Sasa nawaza huyu nnaeish nae nimbwage kwa dizain ipi na nipo tayar kama kumwachia chumba nikapange seem nyingne ili niishi na huyu anaeeleweka na asienipa mipaka katika kunipa nyama coz huyu nnaeish nae kama ana mipaka coz kanifanya ad nimekua mtu wa madem ikiwa mwanzo tulivyoanza mahusiano wala skua mtu wa wanawake. Sometimes ilikua akinuna hata wiki inaweza pita ujapewa nyama mda mwingne wiki mbili kimyaa sasa na mie ni mwanaume na rijali kila sku lazma Nismamishe so uzalendo ulishinda kila sku uwe mtu wa kubembeleza ndo upewe sometimes hata ukibembeleza unanyimwa pia. Nipeni mawazo nitumie mbinu ipi ili nimbwage huyu niishi na huyu nnaemulewa na anaenielewa naona kama huyu nnaeish nae namlzamisha tuu .... Shukran...
Huyo hakupendi achana naye
 
sikutishi ila huyo single maza sio mkuu ila km unamtak aya lkn akikisha baba wa huyo mtoto wa single mother akikisha kafa na unaoneshwa kabur lake... na ikiwezekan fkua tazam mifupa yke ipo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afukue
 
Job mda mwing naingia usku so mda mwingne mchana uwa nalala kwa wana tuu na sio home kwa kuhofia huo ugomv
Mimi nguo hafui kabisa,yani naenda kazini kama sina mke,hatuna maongezi yeyote ya maendeleo,akiamua kuninunia inapita hata week mpaka nguo zinaanza kunuka,mara anachukua nguo zangu analoqeka kwenye maji bila sababu,mara anajisemea mwenyewe li mwanaume la ajabu,mara mama yako mchawi,mara ondoka niishi na watoto wangu
 
Kimbia tu brazaa,Nyama ndo kila kitu.Kwanini ukubali kupimiwa?
 
Siku zote tunatakiwa kuishi na wanawake kwa akili. Ukiona hamuwezi kuishi pamoja, kubali yaishe! Tafuta mtu ambaye utaendana naye.
Ila wakati huo huo na wewe unatakiwa kujipima! Una madhaifu gani? Wapi unamuangusha mwenzi wako?


Kama una tabia ya uchafu, badilika! Kama una ubahili wa kijinga, badilika! Kama una uchoyo na ubinafsi usio na kichwa wala miguu, badilika! Kama una ubabe wa kipuuzi, badilika! Kama una dharau, kiburi, utoto, masihara, na kutojitambua, badilika!

Kinyume na hapo, basi utagombana na kila mwanamke.
Tatizo anamsikiliza dada yake na ndugu zake,hajui maisha hata hata kopa vitu kwa muha,akiumwa nikimwambia nitakuletea dawa nzuri ananiambia nimpe pesa,mwisho wa siku anarudi tena nipe ela ya dawa,sasa nashindwa kuelewa ananichukuliaje,mwana.ke asiyempenda mama yangu huyo sio mwanamke
 
Habari za humu jukwaani.

Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja sehemu moja.

Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidogo tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingine nimempata ni single mother na ananihakikishia kabisa kuwa yupo tayari kuishi na mimi na kujenga familia yenye upendo na amani.

Sasa nawaza huyu nnaeish nae nimbwage kwa dizain ipi na nipo tayar kama kumwachia chumba nikapange sehemu nyingine ili niishi na huyu anaeeleweka na asienipa mipaka katika kunipa nyama coz huyu nnaeish nae kama ana mipaka coz kanifanya hadi nimekua mtu wa madem ikiwa mwanzo tulivyoanza mahusiano wala sikua mtu wa wanawake.

Sometimes ilikua akinuna hata wiki inaweza pita ujapewa nyama muda mwingine wiki mbili kimyaa sasa na mie ni mwanaume na rijali kila siku lazima Nisimamishe so uzalendo ulishinda kila siku uwe mtu wa kubembeleza ndio upewe sometimes hata ukibembeleza unanyimwa pia.

Nipeni mawazo nitumie mbinu ipi ili nimbwage huyu niishi na huyu nnaemulewa na anaenielewa naona kama huyu nnaeishi nae namlzamisha tu ....

Shukran...
066F2353-0E83-4E9D-B44A-D15764BD247F.jpeg
 
Mbembeleze mkeo Kuna leo na kesho.
Singo maza ni Moto wa tipper, waogope Kama ukoma.
Mkianza Ni mapenzi Moto Moto, mzigo utapewa wote (Ni wazoefu wa kutoa mzigo na upishi)
Lakini ujue Kuna mtoto wake na Yuko huyo ex wake aliyezaa naye. Huyo ex Ni shida hata Kama anakaa Mwanza na wewe Dar.
 
Habari za humu jukwaani.

Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja sehemu moja.

Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidogo tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingine nimempata ni single mother na ananihakikishia kabisa kuwa yupo tayari kuishi na mimi na kujenga familia yenye upendo na amani.

Sasa nawaza huyu nnaeish nae nimbwage kwa dizain ipi na nipo tayar kama kumwachia chumba nikapange sehemu nyingine ili niishi na huyu anaeeleweka na asienipa mipaka katika kunipa nyama coz huyu nnaeish nae kama ana mipaka coz kanifanya hadi nimekua mtu wa madem ikiwa mwanzo tulivyoanza mahusiano wala sikua mtu wa wanawake.

Sometimes ilikua akinuna hata wiki inaweza pita ujapewa nyama muda mwingine wiki mbili kimyaa sasa na mie ni mwanaume na rijali kila siku lazima Nisimamishe so uzalendo ulishinda kila siku uwe mtu wa kubembeleza ndio upewe sometimes hata ukibembeleza unanyimwa pia.

Nipeni mawazo nitumie mbinu ipi ili nimbwage huyu niishi na huyu nnaemulewa na anaenielewa naona kama huyu nnaeishi nae namlzamisha tu ....

Shukran...
Mwanamke mzuri sana akiwa sio wako, hata huyo singo atakunyoosha kama rula.
 
Daah unayoyapitia kama mimi,ila mimi nimezaa naye watoto wawili,wa kwangu aniheshimu kabisa,yani unyumba inapita hata mwezi 4 sipatiwi,ana kiburi sana,ana madharau akihamka asubuhi hata bila salamu utasikia nipe ela ya taka na ulizi,mara nimekopa kwa muha mara hivi mara vile,huamuzi niliyoamua namuachia kila kitu ndani,na mpa na ela ya mtaji ili familia isipate tabu,mimi sitaki cha mwanamke mwingine sasa,nitapanga chumba changu mbali na hapo ila nitakuwa natuma ela ya matumizi tu,maana yeye kila siku utasikia nataka niishi mwenyewe na watoto wangu,dada yake na ndugu zake wanampa kiburi,mwanamke asiyemsikiliza mwanaume ndani yafaa nini kuishi nae??namuachia kila kitu siondoki na chochote ila atakuja kunikumbuka sijawahi mpiga,chakula anakula na akipata shida yeyote na msaidia.
Sitaki tufikie pabaya ni bora kila mtu akaishi kivyake sijazaliwa nae,mawazo yamenikondesha sana alafu nina vidonda vya tumbo sina raha wala amani

Mkuu hautaki nikutafutie singo maza kama mtoa mada ili mje mlie kilio kimoja humu ndani[emoji38]
Anyway pole sana na fanya maamuzi magumu uwe na amani.
 
Back
Top Bottom