Mkuu kunai maisha nje ya utumwa huu, let me go
Mkuu pole,mimi huwaambia ndugu zangu wa halmashauri siwezi kufanya kazi huko.DED akuagize,DC akuagize,RAS akuagize,atakuja RC na watu wake,hapo bado wizara yako.kabla hujamaliza anakuja mkaguzi wa ndani,baada ya June CAG huyu hapa,hapo ndio kwenye mziki,jamaa hawajali kama utekelezaji wa maagizo ya wanasiasa yamekufanya ukiuke taratibu,wanakuachia hoja 100.mwisho madiwani wanakufungia kazi kwa kusababisha hojaMy dear now is too much slavery I can't tolerant any more
Ni-pm,this is a coincidenceNilishafikiri mara nane , nini Mara mbili
Mkuu upo sahihi kbsa ,wewe ndo unajua ugumu wa hapa , angalau ilikuwepo kwa awamu zilizopita lkn awamu hii binafsi nimenywea kisimani.Mkuu pole,mimi huwaambia ndugu zangu wa halmashauri siwezi kufanya kazi huko.DED akuagize,DC akuagize,RAS akuagize,atakuja RC na watu wake,hapo bado wizara yako.kabla hujamaliza anakuja mkaguzi wa ndani,baada ya June CAG huyu hapa,hapo ndio kwenye mziki,jamaa hawajali kama utekelezaji wa maagizo ya wanasiasa yamekufanya ukiuke taratibu,wanakuachia hoja 100.mwisho madiwani wanakufungia kazi kwa kusababisha hoja
Nakushauri tarehe 1 mwakani isikukute hapo ofisini.Mkuu Nina mengi ya kufanya sana ,nilishajiwekezea kwenye miradi mbalimbali naona kama najipotezea muda na hawa wanasiasa.
We ndiyo mshamba! kuajiriwa ni utumwaaaaaaaaaHakuna Mtu hata mmoja dunia hii ambae haendeshwi iwe direct au indirect acha ushamba ww na ufala ww uache kazi tena ya serikali kisa kuendeshwa kwani ww account yako si inasona km kawa, ngekuwa private c ungejinyonga ww
Wapo watu ambao wanatafuta kazi mpe hiyo nafasi ww acha ukae kitaa ndio utajua km kachumbari mchuzi au mboga
Basi ungeomba kwa namna hiyohyo nadhani mpaka sa hizi ungeshapata jibu huwezi kupanda kwa kutumia ngazi afu uanze kuulizia njia ya kushukiaWakati naitafuta niliomba ushauri kwa namna nyingne mkuu