Nataka kuacha kazi

Nataka kuacha kazi

[HASHTAG]#leah[/HASHTAG] wewe ndo yule mkuu wa idara Kinondoni alokutukana Makonda mabwe pande nn
 
Yaani kiukweli hata mimi ningekuwa mmoja ya watumishi wa serikali awamu hii ningeachia ngazi.

Nisingeweza kuona haya yanayotokea nikiwa miongoni mwa viongozi wanaosababisha yatokee.
 
Acha kazi uone kazi kupata kazi.

Fikiri mara ya pili.
 
Wandugu,

Mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri fulani nikiwa Mkuu wa Idara nimechoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa Wilaya ananiendesha, Mkuu wa Mkoa anidhalilishe kisa ajira? Looh naacha kazi.
Ushawai kuona mtu anaomba ushauri kwenda kuua mtu? Ushauri wa watu hauwezi kukusaidia hayo ni maamuzi magumu amua mwenyewe!
 
Back
Top Bottom