100%Hii ina apply hadi kwa wanaume
Mmmh tulichelewa kusomea kujasiria Mali, ndo hasara ya kusoma uajiriweHuyu anatania
Ni mazingiraMmmh tulichelewa kusomea kujasiria Mali, ndo hasara ya kusoma uajiriwe
Acha kazi upate kazi ya kutafuta kaziWandugu,
Mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.
Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri fulani nikiwa Mkuu wa Idara nimechoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.
Mkuu wa Wilaya ananiendesha, Mkuu wa Mkoa anidhalilishe kisa ajira? Looh naacha kazi.