Nataka kuacha kazi

Pole sana dada,
1. Usiache kazi.
2. Kaa chini ujiulize kwa nini wewe ndo uendeshwe na sio wengine.
3. Ukipata jibu la kipengele no.2. nadhani utalifanyia kazi na mambo yataenda vizuri. Usisahau pia kuwa kazi sio kupata mshahara tu, kazi ni heshima pia maana umeaminiwa.
 
Acha tuu Dada,
 
UKISHA KUBALI KUAJILIWA NI KAMA MKE NDANI YA NDOA.....NI LAZIMA ULALE BILA NGUO....
 
usiache kazi, omba ukasome tu, utapumzika.
 
Kuna kazi inatangazwa inaitwa
ACHA KAZI UPATE KAZI YA KUTAFUTA KAZI
 
Kama huyo wa kwenye avatar ndio wewe,Acha tu...Njoo hapa ubungo kesho nakukabidhi gari na funguo! Unaendesha mwenyewe,hakuna kuendeshwa tena.......
 
Kweli picha imewateka wengi walio comment mada yako aiseee Tz tuna safari ndefu sana.

Kazi bila challenges siyo kazi hiyo!!

Be strong Fanya kazi
 
Pole sana. Hiyo ndo serikali yako.

Na mbaya zaidi ni pale pesa zako zilizopo kwenye hifadhi ya jamii huwezi kuzichukua.

Ukiacha kazi utaenda kufanya nini kama mbadala?
Mkuu Nina mengi ya kufanya sana ,nilishajiwekezea kwenye miradi mbalimbali naona kama najipotezea muda na hawa wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…