yokohama yokozuna
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 322
- 115
Sasa hivi kazi zuri ni umachinga
Kuacha kazi sio dhambi lakini hakikisha kwanza umejipanga vya kutosha ili kukabiliana na changamoto za kimaishaWandugu,
Mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.
Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri fulani nikiwa Mkuu wa Idara nimechoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.
Mkuu wa Wilaya ananiendesha, Mkuu wa Mkoa anidhalilishe kisa ajira? Looh naacha kazi.
Una ka hoja kwa mabali japo povu limezidi sana mkuu.... ungeweza mfikishia ujumbe bila povu lote hilo....Hakuna Mtu hata mmoja dunia hii ambae haendeshwi iwe direct au indirect acha ushamba ww na ufala ww uache kazi tena ya serikali kisa kuendeshwa kwani ww account yako si inasona km kawa, ngekuwa private c ungejinyonga ww
Wapo watu ambao wanatafuta kazi mpe hiyo nafasi ww acha ukae kitaa ndio utajua km kachumbari mchuzi au mboga
Wanafanya kazi zao,siyo za watu wengineHawafanyi kazi, then wanaishije?
Taja upo mkoa gani na idara gani?, achana na jina la halmashauri.
Kivipi?Unampeleka chaka ...
sio ushauri wa mtu mwenye akili huuAcha kajiuze tuuu
Mimi niliamua kuacha kazi mwaka 2015 kwa sababu ya katibu tawala mkoa uliokosa bahari. .. aliye take kusudiwa kama Mungu wala sijutii uamuzi wanguWandugu,