Nataka kuacha kazi

Inashauriwa kila kukicha speed ikikushinda kaa pembeni waachie watakaoweza kwenda na kasi ya sasa.
 
Mpe atulie
 
Leah! Japo unapumulia mashine, endelea ivo ivo tu. Bora punda afe ila mzigo ufike... Ukiacha kazi watoto watakula nini?
 
Dah Sisi tusiokuwa na Ajira tunatamani hata tupate nusu ya mashahara wa Kazi yako shaban Robert Aliwahi kusema namna nzuri ya kutafakari vita ni wakati ukiwa kwenye amani
 
Uoga wako ndo umaskini wako....utaishije kwa mshahara wa laki tano kwa mwezi ili hali wewe sio mlemavu!
Ni kweli, inawezekana laki 5 kwako si kitu, lakin kwa hali ilivyo sasa kuna wasomi wapo mtaani wanaitaka hata laki 3 na hawaipati, sembuse huyo mwenye uhakika wa kula kila siku?

Tusidanganyane mkuu,tofauti na hapo ww bdo ni mwanachuo na unamahope kibao kwamba ipo siku utapata mshahara wa mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…